Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UANDIKISHAJI WAPIGA KURA: Vyama 22 vyaungana kuishukia NEC

>Vyama vya siasa nchini vimeibana Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakitaka iweke wazi kama itaweza kukamilisha mchakato wa uandikishaji Daftari la Wapiga kura kabla ya Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

NEC yasogeza mbele uandikishaji wapiga kura hadi Feb 16.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam

 

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imesogeza wiki moja mbele ya kuanza zoezi la kuboresha Daftari la kudumu la wapiga kura ambalo awali lilipangwa kuanza Februari 16 na kwa mabadiliko hayo litaanza Februari 23 mwaka huu.

 

NEC imefanya mabadiliko haya baada ya shinikizo la muda mrefu kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa walioitaka tume hiyo kutoa muda zaidi wa kuzunguka nchi nzima kutoa elimu kwa wapiga kura ili waone umuhimu wa kujiandikisha.

 

Katika...

 

5 years ago

Michuzi

NEC yaongeza siku za uandikishaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura Dar

Na Chalila Kubuda, Globu ya Jamii .

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.

Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

5 years ago

Michuzi

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uandikishaji daftari la wapiga kura bado

Tume ya uchaguzi nchini Tanzania imesogeza mbele tarehe ya kuzinduliwa kwa zoezi la uandikishaji daftari la wapiga kura

 

10 years ago

BBCSwahili

Uandikishaji wapiga kura Dar es Salaam.

Tume ya taifa ya uchaguzi ya Tanzania, imeongeza muda wa uandikishaji wapiga kura jijini Dar es salaam kwa siku 4, mpaka Agost 4.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda azindua uandikishaji daftari la wapiga kura

PG4A2681

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua  Uboreshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2711

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kazi ya uandikishaji wapiga kura baada ya kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015. (Picha na Ofisi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Dar es Salaam yapangiwa siku 12 uandikishaji wapiga kura

>Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeweka hadharani ratiba nzima ya uandikishaji wapigakura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) huku mkoa wa Dar es Salaam ukipangiwa siku 12  tofauti na mwezi mmoja uliotumika katika mikoa mingine.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua  Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba.Baadhi ya watalaamu wa kuandikisha wapiga  wakiwa na zana  za kazi kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ya kuzindua Uborereshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani