NEC yasogeza mbele uandikishaji wapiga kura hadi Feb 16.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imesogeza wiki moja mbele ya kuanza zoezi la kuboresha Daftari la kudumu la wapiga kura ambalo awali lilipangwa kuanza Februari 16 na kwa mabadiliko hayo litaanza Februari 23 mwaka huu.
NEC imefanya mabadiliko haya baada ya shinikizo la muda mrefu kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa walioitaka tume hiyo kutoa muda zaidi wa kuzunguka nchi nzima kutoa elimu kwa wapiga kura ili waone umuhimu wa kujiandikisha.
Katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Feb
NEC yasogeza mbele uandikishaji daftari la kudumu
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza kusogeza mbele uandikishaji wapigakura kutoka Februari 16 hadi 23, mwaka huu.
Uamuzi huo ulitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, katika kikao na viongozi wa vyama vya siasa hali ambayo iliibua hoja nzito.
Jaji Lubuva, alisema wamesogeza mbele uandikishaji ili wapate muda wa kufanya maandalizi ya kutosha, na vyama viweze kuandaa mawakala pindi kazi hiyo...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
UANDIKISHAJI WAPIGA KURA: Vyama 22 vyaungana kuishukia NEC
5 years ago
MichuziNEC yaongeza siku za uandikishaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura Dar
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.
Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...
5 years ago
MichuziWAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC
5 years ago
CCM BlogWAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Uandikishaji wapiga kura Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Uandikishaji daftari la wapiga kura bado
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
Pinda azindua uandikishaji daftari la wapiga kura
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Uboreshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kazi ya uandikishaji wapiga kura baada ya kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015. (Picha na Ofisi ya...
10 years ago
Mwananchi23 May
Dar es Salaam yapangiwa siku 12 uandikishaji wapiga kura