THAMINI KURA YAKO, TUNZA KADI UCHAGUE KIONGOZI ANAYEFAA
![](http://api.ning.com:80/files/yi0TCIBaEFWr7yBkJRgI5w00qargCSvXwUziSgiL7eutd5GxaBwbKTScBhMT2SHpeyCgoqMybSiotRmfKfrfshplnkGN7k-I/Mwenyekiti.jpg?width=650)
NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuandika haya nitakayoandika leo kwa manufaa ya nchi yangu ninayoipenda.Watanzania wote tuliojiandikisha tunatarajia kupiga kura Oktoba 25, mwaka huu. Kura ni kitendo cha kumchagua kiongozi ambaye wewe binafsi unaona atafaa kuongoza jamii katika ngazi fulani. Kitendo hicho hufanyika mara moja baada ya muda fulani kufuatana na jinsi mlivyojipangia wenyewe kisheria. Hapa kwetu huwa kila...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo24 Aug
Warioba: Magufuli ndiye kiongozi anayefaa
WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema Tanzania ya sasa inahitaji kiongozi mwadilifu, mzalendo na mchapakakazi kama alivyo mgombea wa CCM, Dk John Magufuli.
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
10 years ago
MichuziKIONGOZI WA MWENGE AKABIDHI KADI ZA CHF KWA WAKINA MAMA JIJINI TANGA
9 years ago
Habarileo20 Sep
DC akerwa na matapeli wa kadi za kura
MKUU wa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Majid Mwanga amewataka wananchi kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama juu ya watu wanaochukua vitambulisho vya kupigia kura kwani ni matapeli.
9 years ago
Mtanzania25 Sep
Akamatwa na kadi 90 za kupigia kura
Na Elias Msuya
MWANAMKE aliyetambuliwa kwa jina la Salome Mahala, amekamatwa hivi karibuni katika Kata ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, akiandikisha namba za kadi za kupigia kura.
Akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, mwananchi wa kijiji cha Katumba wilayani humo, alisema Mahala alikamatwa Jumatatu asubuhi akiwa na kadi 93 alizokusanya kwa wananchi akidai anaandikisha wanachama wa CCM.
“Tumemkamata huyo mama na kumfikisha katika kituo cha polisi cha mkoa akiwa na...
9 years ago
Mtanzania10 Oct
Kadi za kura zauzwa 100,000/-
*Wanaume wadaiwa kuiba za wake zao
NA ARODIA PETER, DAR ES SALAAM
ZIKIWA zimebaki siku 14 kabla ya Watanzania kupiga kura, baadhi ya watu katika Kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera wanadaiwa kununua vitambulisho vya kupigia kura vilivyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wakazi wa kisiwa hicho walipiga simu katika gazeti la MTANZANIA wakimtuhumu mmoja wa wagombea udiwani wa Kata ya Goziba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masaba Nkunami, kuwa ndiye kinara wa ununuzi huo...
9 years ago
Habarileo12 Oct
Waaswa kutouza kadi za kupigia kura
WAKAZI wa mkoa wa Lindi wametakiwa kuzitunza kadi zao za kupigia kura na kukataa kurubuniwa ili waziuze, kwani wakifanya hivyo watashindwa kuwachagua viongozi wanaowataka.
10 years ago
Mwananchi08 Aug
NEC: Marufuku kutoa kadi ya kupigia kura
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Chadema yadai kunasa kadi 36 za kupigia kura