Kadi za kura zauzwa 100,000/-
*Wanaume wadaiwa kuiba za wake zao
NA ARODIA PETER, DAR ES SALAAM
ZIKIWA zimebaki siku 14 kabla ya Watanzania kupiga kura, baadhi ya watu katika Kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera wanadaiwa kununua vitambulisho vya kupigia kura vilivyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wakazi wa kisiwa hicho walipiga simu katika gazeti la MTANZANIA wakimtuhumu mmoja wa wagombea udiwani wa Kata ya Goziba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masaba Nkunami, kuwa ndiye kinara wa ununuzi huo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
5 years ago
VentureBeat30 Mar
HQ Trivia returns with surprise $1,000 show and $100,000 donation
9 years ago
Mtanzania25 Sep
Akamatwa na kadi 90 za kupigia kura
Na Elias Msuya
MWANAMKE aliyetambuliwa kwa jina la Salome Mahala, amekamatwa hivi karibuni katika Kata ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, akiandikisha namba za kadi za kupigia kura.
Akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, mwananchi wa kijiji cha Katumba wilayani humo, alisema Mahala alikamatwa Jumatatu asubuhi akiwa na kadi 93 alizokusanya kwa wananchi akidai anaandikisha wanachama wa CCM.
“Tumemkamata huyo mama na kumfikisha katika kituo cha polisi cha mkoa akiwa na...
9 years ago
Habarileo20 Sep
DC akerwa na matapeli wa kadi za kura
MKUU wa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Majid Mwanga amewataka wananchi kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama juu ya watu wanaochukua vitambulisho vya kupigia kura kwani ni matapeli.
9 years ago
Habarileo12 Oct
Waaswa kutouza kadi za kupigia kura
WAKAZI wa mkoa wa Lindi wametakiwa kuzitunza kadi zao za kupigia kura na kukataa kurubuniwa ili waziuze, kwani wakifanya hivyo watashindwa kuwachagua viongozi wanaowataka.
9 years ago
Habarileo14 Sep
Wadaiwa kutumia kadi za kura kudhamini mikopo
WAKAZI wa mkoa wa Lindi wametahadharishwa kujiepusha na matapeli wanaotumia mbinu ya kuwakopesha na kisha kuchukua kadi zao za kupigia kura kama dhamana, jambo linaloweza kuwanyima haki ya kupiga kura ifikapo Oktoba 25, mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Chadema yadai kunasa kadi 36 za kupigia kura
10 years ago
Mwananchi08 Aug
NEC: Marufuku kutoa kadi ya kupigia kura
9 years ago
Mwananchi28 Aug
NEC ifanyie kazi tuhuma za kadi za kupigia kura