Punda watumiwa kutoa ujumbe Kenya
Wanaharakati hii leo waliwapeleka Punda katikati ya mji wa Nairobi waliokuwa na maandiko ''Tumechoka'' kuonyesha wakenya walivyochoshwa na utovu wa usalama
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Mgombea ubunge ‘atoweka’, wazazi watumiwa ujumbe wa vitisho
Mgombea ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Bariadi Magharibi, Masunga Nghezo ametoweka kusikojulikana na hajapatikana hadi sasa akiwa katika harakati za kufanya mikutano ya hadhara katika jimbo hilo.
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Mmea hatari watumiwa kuzalisha kawi Kenya
Mmea wa Mathenge ulikuwa umegeuka kero maeneo mengi Kenya lakini sasa umekuwa baraka baada ya kuanza kutumiwa kuzalisha kawi.
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Punda walishwa mihadarati Kenya
Kumekuwa na shutuma kuwa Punda hutumiwa vibaya na baadhi ya wanaowamiliki Kenya na wengine wakidaiwa kupewa mihadarati.
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Kichinjio cha Punda kuzinduliwa Kenya
Kwa muda mrefu mizoga ya wanyama hao imekuwa ikipatikana kando ya barabara au msituni ambako wezi huificha baada ya kuwachinja Punda hao.
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Serikali ya Kenya imepiga marufuku uchinjwaji wa punda, je ni kwanini?
Serikali ya Kenya imetangaza marufuku ya uchinjwaji wa punda nchini huko ili kuzuwia ku kutokomea kwa wanyama hao ambao idadi yao inasemekana kupundua.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Tff kutoa ujumbe maalum
Shirikisho la soka nchini Tanzania litatoa ujumbe siku yamechi ya watani wa jadi , kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-wq1eKomxoW0/VME0RyGIfaI/AAAAAAAAnAk/uKmMK8pVQBI/s72-c/idrisaa13.jpg)
dris Mshindi wa BBA Aonyesha Nyumba yake Aliyonunua na Kutoa Ujumbe Mkali kwa Mashabiki wake
![](http://3.bp.blogspot.com/-wq1eKomxoW0/VME0RyGIfaI/AAAAAAAAnAk/uKmMK8pVQBI/s640/idrisaa13.jpg)
11 years ago
BBCSwahili15 May
Onyo kwa wanaotuma ujumbe wa ngono Kenya
Kumtumia mtu ujumbe wenye picha za watu walio uchi au zenye ujumbe wa kingono nchini Kenya kutakuweka mashakani kiasi cha kufungwa jela
10 years ago
Vijimambo08 Jan
Tibaijuka, Chenge watumiwa ankara kodi ya Escrow
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nchemba-08Jan2014.jpg)
Serikali imesema imeshachukua hatua za kulipwa kodi kutoka kwa watu walionufaika na mgawo wa fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema wizara yake imeshawaandikia ankara za malipo ya kodi wadaiwa wote waliopokea mgawo huo.
Nchemba, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), alisema serikali imewapatia siku 30 watu hao ili...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania