Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kichinjio cha Punda kuzinduliwa Kenya

Kwa muda mrefu mizoga ya wanyama hao imekuwa ikipatikana kando ya barabara au msituni ambako wezi huificha baada ya kuwachinja Punda hao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Punda walishwa mihadarati Kenya

Kumekuwa na shutuma kuwa Punda hutumiwa vibaya na baadhi ya wanaowamiliki Kenya na wengine wakidaiwa kupewa mihadarati.

 

10 years ago

BBCSwahili

Punda watumiwa kutoa ujumbe Kenya

Wanaharakati hii leo waliwapeleka Punda katikati ya mji wa Nairobi waliokuwa na maandiko ''Tumechoka'' kuonyesha wakenya walivyochoshwa na utovu wa usalama

 

9 years ago

Michuzi

Kituo cha kisasa cha michezo kwa vijana cha JMK cha Kidongo Chekundu kuzinduliwa Oktoba 19, 2015

 Sehemu ya viwanja vya mpira wa kikapu katika kituo cha kisasa kabisa cha Michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam  vimekamilika, saambmba na viwanja vya soka na michezo mingine. Kituo hiki cha Vijana cha Michezo mbalimbali kinachodhaminiwa na Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza cha Sunderland kwa kushirikiana na kampuni ya umeme ya Symbion Power kinatarjiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 19 Oktoba mwaka huu. 

 

5 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Kenya imepiga marufuku uchinjwaji wa punda, je ni kwanini?

Serikali ya Kenya imetangaza marufuku ya uchinjwaji wa punda nchini huko ili kuzuwia ku kutokomea kwa wanyama hao ambao idadi yao inasemekana kupundua.

 

9 years ago

Habarileo

NEMC yafunga kiwanda cha kusindika punda Dom

BARAZA la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefungia na kukitoza faini ya Sh milioni 200 kiwanda cha kusindika nyama ya punda cha Huwacheng kilichopo katika Kata ya Kizota, mjini hapa.

 

9 years ago

GPL

NEMC IMEKIFUNGA KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA YA PUNDA, DODOMA

Baraza la taifa la usimamizi wa mazingira (NEMC) limekifungia kiwanda cha Huwa Cheng Company Limited kilichopo mjini Dodoma na kukitoza faini ya shilingi milioni 200 baada ya kubaini kiwanda hicho kinajihusisha na usindikaji wa nyama ya Punda kinyume na utamaduni wa watanzania huku mazingira yake yakiwa hatarishi kutokana na uchafu unaozalishwa kuzagaa kwenye makazi ya watu. Ni mabishano makali baina ya wamiliki wa kiwanda hiki...

 

10 years ago

Michuzi

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA UEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS

3Kiwanja kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kinatarajiwa kuzinduliwa mkesha wa sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam Kiwanja hiki ni cha Kisasa kiko maeneo ya Ukonga Mombasa Barabara ya kuelekea Moshi Baa Karibu na njia panda ya Mahitamita 200 kutoka barabara kuu iendayo Pugu, siku ya mkesha wa Krismas burudani kibao zimeandaliwa na na kiko katika hatua za mwisho mwisho kukamilisha kila kitu ili kuwapa burudani wateja wake ikiwa ni pamoja na Ligi mbalimbali za ulaya, muziki wa kisasa kama...

 

5 years ago

Michuzi

KITUO KIKUU CHA MABASI CHA DODOMA KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI, MKURUGENZI WA JIJI AFUNGUKA

Charles James, Michuzi TV

JIJI la Dodoma limesema ifikapo Juni 30 mwaka huu ndio itakua mwisho kwa Mabasi makubwa ya abiria kupaki nje ya Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi katika mkutano wake na wandishi wa habari wakati alipotembelea Ujenzi wa Kituo hicho kinachojengwa katika eneo la Nzuguni.

Kunambi amesema ujenzi wa Kituo hiko ambacho kitakua kikubwa kuliko vyote kwa ukanda wa Afrika Mashariki tayari umekamilika...

 

9 years ago

Habarileo

Chama cha ufugaji nyuki kuzinduliwa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, leo anatarajiwa kuzindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji wa Nyuki Tanzania (TABEDO). Uzinduzi wa TABEDO unafanyika kutokana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kufanyia kazi agizo la Waziri Mkuu Pinda la kuanzishwa kwa umoja wa wafugaji nyuki nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani