DMX aachiwa kutoka jela, lakini anaweza kurudishwa tena!
Rapper DMX ameachiwa huru kutoka jela siku ya Ijumaa Sept 26 japo kuna uwezekano wa kurudishwa ndani muda wowote tena. Mwezi July rapper huyo alihukumiwa miezi sita jela baada ya kushindwa kulipa matumizi ya mtoto, lakini alijitetea kuwa hakufahamu kama mwanamke aliyezaa naye alikuwa akimdai pesa yoyote, kwa mujibu wa TMZ. Licha ya kuwa ameachiwa, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Jul
Aachiwa huru, akamatwa tena
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemuachia huru, Samwel Meshack baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuleta mashahidi kuthibitisha tuhuma za wizi zilizokuwa zikimkabili.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2b08Fwoza2s/VXYKAvfeGdI/AAAAAAAHdMk/fQP67OY4Pv4/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JIHADHARI, HAYA NI MAZINGIRA KISHERIA AMBAPO ALIYEKUUZIA ARDHI ANAWEZA KUDAI TENA UMILIKI NA AKAUPATA
![](http://3.bp.blogspot.com/-2b08Fwoza2s/VXYKAvfeGdI/AAAAAAAHdMk/fQP67OY4Pv4/s320/1.1774256.jpg)
Kisheria yapo mazingira ambapo mtu aliyeuza ardhi anaweza kuidai tena ardhi ileile aliyouza kutoka kwa mnunuzi na akaipata. Na hapa haijalishi kama mnunuzi ameiendeleza ardhi kwa kiasi gani au amebadilisha hati na kuingia jina lake na vitu vingine kama hivyo.
Sheria imetoa haki hii kwa muuzaji hasa iwapo masharti katika mkataba wa mauziano yamevunjwa. Kwa kawaida kila mkataba wa mauziano ya ardhi huwa na masharti ambayo...
10 years ago
GPLHAWAENDANI, LAKINI NDIYO HIVYO TENA!
5 years ago
Bongo514 Feb
Jela yamuita tena Chris Brown
Chris Brown ameibua msala mpya ambao unaweza kumletea hatari kubwa ya kumpeleka jela.
Muimbaji huyo Jumatatu hii alihudhuria katika klabu ya usiku ya Aja Channelside iliyopo mjini Florida lakini alijikuta akiibua jambo jipya baada ya kumpiga ngumi mpiga picha mmoja aliyefahamika kama Bennie Vines aliyekuwa akipiga picha ukumbini hapo.
Imedaiwa kuwa wakati Chris alipokuwa katika klabu hiyo wainzi wake waliwakataza wapiga picha wote kumpiga picha msanii huyo huku uongozi wa klabu hiyo ya Aja...
9 years ago
Bongo510 Dec
Meek Mill kurudi tena jela?
![Meek-Mill](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Meek-Mill-300x194.jpg)
Huenda furaha ya Meek Mill kumchumbia mpenzi wake Nicki Minaj ikaingia dosari Jumanne ijayo atakapopanda kizimbani huko Philadelphia.
Mtandao wa Page Six umedai kuwa Mill atapanda kizimbani kwenye kesi kuhusu masharti ya kusafiri.
Chanzo kimeiambia Page Six kuwa akilemaa anaweza kurudi tena jela.
Mwaka jana msanii huyo alilazimika kusitisha show zake baada ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kukiuka masharti ya probation.
Awali Mill alipewa probation ya miaka mitano mwaka 2009...
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Farijala aenda jela tena kwa EPA
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MFANYABIASHARA Farijala Hussein aliyemaliza kifungo kwa kuiba fedha za akaunti ya EPA, amehukumiwa tena kwenda jela baada ya kupatikana na hatia katika kesi nyingine ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 400 katika akaunti hiyo.
Vilio vilitawala katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya Farijala kuhukumiwa kwenda jela miaka mitatu kwa kila kosa na kurudisha zaidi ya Sh milioni 400. Mahakama ilimpa adhabu Farijala ya kwenda jela jumla ya miaka...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
KUTOKA LONDON :Mahitaji ya mwanadamu ni matatu lakini hutofautiana kitamaduni
10 years ago
Bongo527 Aug
Philadelphia 76ers wamnunua Hasheem Thabeet kutoka Oklahoma City Thunder, lakini..