Meek Mill kurudi tena jela?
Huenda furaha ya Meek Mill kumchumbia mpenzi wake Nicki Minaj ikaingia dosari Jumanne ijayo atakapopanda kizimbani huko Philadelphia.
Mtandao wa Page Six umedai kuwa Mill atapanda kizimbani kwenye kesi kuhusu masharti ya kusafiri.
Chanzo kimeiambia Page Six kuwa akilemaa anaweza kurudi tena jela.
Mwaka jana msanii huyo alilazimika kusitisha show zake baada ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kukiuka masharti ya probation.
Awali Mill alipewa probation ya miaka mitano mwaka 2009...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Dec
Meek Mill kurudi tena jela, apatikana na hatia za kukiuka masharti ya probation
![meek-pray](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/meek-pray-300x194.jpg)
Mambo si mazuri kwa Meek Mill.
Rapper huyo wa Philadelphia, Alhamis hii alipanda kizimbani na kujitetea mbele za jaji kuwa amebadilika.
Wakati wa utetezi wake, Meek alimuingiza pia mpenzi wake Nicki Minaj: I’m not a gangsta. I’m not a criminal,” alisema. I have my queen, Nicki now. I’m trying to do better and feel like I can be the best rapper alive.”
Hata hivyo jaji hakushawishisha na utetezi wake na alimkuta na hatia ya kukiuka masharti ya probation na kuitaja Feb 5 kama siku ya...
9 years ago
Bongo529 Dec
Meek Mill amdiss tena Drake kwenye ngoma hii
![Meek-Mill](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Meek-Mill-300x194.jpg)
Beef ya Meek Mill na Drake haioneshi dalili ya kuisha mapema.
Katika muda ambao wengi tulianza kusahau, Meek anarudi tena na nyundo kwa rapper huyo wa Canada itakayokuwepo kwenye mixtape yake ya Dreamchasers 4.
Video fupi ya Meek Mill inayomuonesha akichana mistari michache ya wimbo huo imesambaa mtandaoni.
“When I was saying shit about the rhymes you ain’t wrote / I can’t wait ’til we run in ya / I’ma put a gun in ya,” rapper huyo wa Philadelphia anarap kwenye video hiyo.
Katikati ya...
10 years ago
Bongo509 Jun
New Video: Davido Ft Meek Mill — Fans Mi
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-5SLYQMORvjQ/VXcJy4Dzz0I/AAAAAAAAB_g/AEbXxl-7-mY/s72-c/Davido-Fans-Mi-featuring-Meek-Mill-620x350.jpg)
9 years ago
Bongo505 Sep
Music: Meek Mill — ‘Preach (Remix)’
10 years ago
GPL09 Jun
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHmXNI-tCTrf8mvq6Onv-PYCZCmcyY--X3cvrPjnttURscs1IC6Nbpe9FwMKcbo5C8AR-4by5C66fOP45oWCQdVXqXs0pkPo/rectangle.jpg?width=650)
MEEK MILL AKANA KUMUIBA NICKI MINAJ
9 years ago
Bongo510 Dec
Picha: Meek Mill amchumbia Nicki Minaj
![12276932_1722929857930146_52455195_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12276932_1722929857930146_52455195_n-300x194.jpg)
“Ntalalalala..you may now kiss the bride! Huenda muda si mrefu Meek Mill na Nicki Minaj wakawa wanachama wapya wa ndoa.
Nicki Minaj akionesha pete aliyovishwa na Meek Mill
Picha za Instagram za Nicki Minaj zinaonesha kuwa rapper huyo amechumbiwa na mpenzi wake, Meek.
“Now this is what I’m talking about baby. Lol. Love u @meekmill,” ameandika Nicki kwenye picha ya mkono wake unaonesha pete ya uchumba kwenye kidole chake cha chanda.
“This stone is flawless. (My voice) lol,” ameandika kwenye...