MEEK MILL AKANA KUMUIBA NICKI MINAJ
![](http://api.ning.com:80/files/JHmXNI-tCTrf8mvq6Onv-PYCZCmcyY--X3cvrPjnttURscs1IC6Nbpe9FwMKcbo5C8AR-4by5C66fOP45oWCQdVXqXs0pkPo/rectangle.jpg?width=650)
Rapa Meek Mill. New York Marekani RAPA Meek Mill ameamua kufunguka kuwa hakumuiba mpenzi wake wa sasa, Nicki Minaj kutoka kwa mpenzi wake wa zamani, Safaree Samuels ambaye alidumu na Minaj kwa miaka 12. Rapa Meek Mill akiwa na mpenzi wake Nick Minaj. “Awali, sikuwa na mipango na Nick kabisa, uhusiano wetu umetokea tu na wala sihusiki katika kuvunjika kwa penzi lake na mpenzi wake wa zamani,†alisema… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Dec
Picha: Meek Mill amchumbia Nicki Minaj
![12276932_1722929857930146_52455195_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12276932_1722929857930146_52455195_n-300x194.jpg)
“Ntalalalala..you may now kiss the bride! Huenda muda si mrefu Meek Mill na Nicki Minaj wakawa wanachama wapya wa ndoa.
Nicki Minaj akionesha pete aliyovishwa na Meek Mill
Picha za Instagram za Nicki Minaj zinaonesha kuwa rapper huyo amechumbiwa na mpenzi wake, Meek.
“Now this is what I’m talking about baby. Lol. Love u @meekmill,” ameandika Nicki kwenye picha ya mkono wake unaonesha pete ya uchumba kwenye kidole chake cha chanda.
“This stone is flawless. (My voice) lol,” ameandika kwenye...
9 years ago
Bongo523 Sep
Napenda sana kumbusu Meek Mill — Nicki Minaj (Picha)
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Ndoa ya Nicki Minaj, Meek Mill yazua mjadala mitandaoni
New York, Marekani
IKIWA zimepita siku chache baada ya rappa machachari kutoka Marekani Meek Mill amvalishe pete ya dhahabu mpenzi wake Nick Minaj kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni wapendanao hao wameibua ‘headline’ kwenye Mtandao wa Kijamii wa Twitter baada ya Nick kuwauliza maswali mashabiki wake juu ya mahali pa kufanyia harusi hiyo akilenga ufukweni au kanisani.
Baada ya Nick, 33, kupost maswali hayo ndani ya muda mchache zaidi ya mashabiki wake 20,000 walitoa maoni...
9 years ago
Bongo508 Oct
Nicki Minaj adai anaichukua beef ya Meek Mill na Drake
9 years ago
Bongo526 Oct
Nicki Minaj na Meek Mill kununua mjengo wa kifahari pamoja
10 years ago
Bongo528 Jul
Video: Meek Mill Ft Nicki Minaj & Chris Brown – All Eyes on You
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Meek Mill matatani, licha ya Nicki Minaj kumtetea Mahakama haijamuacha bure!
Mwaka huu wa 2015 hautoisha poa kwa rapper wa Maybach Music Group, Meek Mill kwani baada ya kusimama Mahakamani kwa zaidi ya wiki mbili inaonekana jitihada zake za kujitetea kwanini hajatii sheria za kifungo chake cha nje hazijairidhisha Mahakama ya Philadelphia. Jana rapper huyo alipanda kizimbani kujitetea kwa mara ya mwisho lakini baada ya saa […]
The post Meek Mill matatani, licha ya Nicki Minaj kumtetea Mahakama haijamuacha bure! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo511 Nov
Nicki Minaj apotea kwenye mitandao ya kijamii ghafla, yadaiwa uhusiano na Meek Mill umeanza kumharibia
![nn](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nn-300x194.jpg)
Nicki Minaj amewatia hofu mashabiki wake baada ya kupotea kwenye Instagram na Twitter kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Chanzo kilicho karibu na Nicki Minaj kimeuambia mtandao wa Urban Islandz Jumatatu hii kuwa Nicki amepumzika na mitandao ya kijamii ili kurekodi muziki mpya na kutumia muda wake mwenyewe zaidi.
“After constantly being on the road and always working sometimes you need to take some time off to work on your personal life,” kilisema chanzo hicho.
Kiliendelea kuwa Minaj amekuwa kimya...