Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA LONDON :Mahitaji ya mwanadamu ni matatu lakini hutofautiana kitamaduni

Ili aishi, mwanadamu anahitaji malezi, mavazi na chakula. Hana haja ya kuondoka kwao kama vitu hivyo vya msingi vipo. Viongozi wa Ulaya sasa hivi wanakinzana wakishangaa namna wakimbizi na wahamiaji wanaoyakwepa maeneo yenye tafrani Afrika na Mashariki ya Kati, hususan, Syria... Mwanadamu ahitaji malezi, chakula na mavazi kuishi, ila haya huendana na utamaduni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON: Fab Moses- Mtabiri wa London aliyetunga wimbo wa kushinda Magufuli

Wakati kampeni za uchaguzi zikiendelea miezi kadhaa iliyopita, Mtanzania mmoja mkazi London alikuwa na mtazamo tofauti. Mwanamuziki na mcheza sarakasi huyu  anaitwa Fab Moses.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu

“Kenya and Friends in the Park” – yaani Kenya na marafiki zao kukutana kiwanjani ilihamasishwa na dada mcheza ngoma, mwanatamthiliya na mwanahabari Lydia Olet. Bango lenye taswira ya Simba na Mmasai aliyevaa lubega la miraba; kifua wazi na mkuki mkononi. Maneno yalisema burudani itakuwa Jumamosi tarehe 29 Agosti kuanzia tano asubuhi hadi mbili usiku. Kiingilio bure.

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka Ikulu kwa Rais Magufuli leo January 4…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wanne Ikulu, Dar es salaam. Katika mzungumzo yao wamezungumzia mambo mbalimbali kuhusu mustakabali wa Serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa na kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu Gerson Msigwa alisema yaliyojiri katika Mazungumzo […]

The post Matatu kutoka Ikulu kwa Rais Magufuli leo January 4… appeared first on...

 

9 years ago

Vijimambo

MKATABA KUHUSU MAHITAJI NA MATARAJIO YA WAZEE TANZANIA KUTOKA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA TANO 2015

UTANGULIZI


KWAMBA, sisi wazee wa Tanzania ambao tumewakilisha wazee wenzetu, kutoka mikoa yote nchini, tuliokutana kuanzia tarehe 24 hadi 26 Juni 2015, hapa Dar es Salaam tumechangia mawazo yetu katika kuandaa Mkataba huu na kuuridhia. Lengo la Mkataba huu ni kutambulisha umma wa Watanzania haki zetu, mahitaji yetu na changamoto tunazokumbana nazo ili ziweze kupatiwa ufumbuzi.

KWAMBA, Mkataba huu ni nyenzo ya kuhakikisha kuwa wagombea wote katika nafasi mbalimbali za uongozi na Serikali kwa...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu ya kujua kutoka kwa Chris Brown >>> Radio na Muziki, kuitwa superstaa + Maisha ya jela!

Staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown anashikilia headlines za burudani na album yake mpya, ROYALTY. Nimekutana na interview aliyofanya Chris siku chache zilizopita na humo ndani amegusia vitu vingi ikiwemo mchango wa station za radio kwenye muziki wake, mtazamo wake wa kuwa na kuitwa superstaa na maisha aliyoishi akiwa jela. Haya ndio […]

The post Matatu ya kujua kutoka kwa Chris Brown >>> Radio na Muziki, kuitwa superstaa + Maisha ya jela! appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Kikubwa usichokijua kutoka kwa Tyga… ‘maana ya jina lake’ na mengine matatu kwenye hii interview!

Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Tyga ni miongoni ya wasanii wanaofunga mwaka wa 2015 na excluvise interviews na mitandao pamoja na majarida mbalimbali ya burudani… Nimekutana na interview ya rapper huyo na mtandao wa Yahoo na ndani yake amegusia vitu vingi ikiwemo maana ya jina la ‘Tyga’ , umaarufu na mengine kibao. […]

The post Kikubwa usichokijua kutoka kwa Tyga… ‘maana ya jina lake’ na mengine matatu kwenye hii interview! appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

DMX aachiwa kutoka jela, lakini anaweza kurudishwa tena!

Rapper DMX ameachiwa huru kutoka jela siku ya Ijumaa Sept 26 japo kuna uwezekano wa kurudishwa ndani muda wowote tena. Mwezi July rapper huyo alihukumiwa miezi sita jela baada ya kushindwa kulipa matumizi ya mtoto, lakini alijitetea kuwa hakufahamu kama mwanamke aliyezaa naye alikuwa akimdai pesa yoyote, kwa mujibu wa TMZ. Licha ya kuwa ameachiwa, […]

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

10 years ago

Bongo5

Philadelphia 76ers wamnunua Hasheem Thabeet kutoka Oklahoma City Thunder, lakini..

Oklahoma City Thunder wamemuuza Hasheem Thabeet kwa timu ya Philadelphia 76ers. Vyanzo vinadai kuwa mabadilishano hayo yaliyofanyika Jumanne hii yataifanya Sixers kupata kile kiitwacho ‘cash considerations’ kuchukua mkataba wa Thabeet. Sixers, wanadaiwa kuwa watamwacha Thabeet mapema na Oklahoma City itaokoa kiasi cha dola milioni 1.25 kwa kumuuza Thabeet bila kuchukua mshahara wowote. Thabeet hatarajiwi kuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani