MKATABA KUHUSU MAHITAJI NA MATARAJIO YA WAZEE TANZANIA KUTOKA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA TANO 2015
UTANGULIZI
KWAMBA, sisi wazee wa Tanzania ambao tumewakilisha wazee wenzetu, kutoka mikoa yote nchini, tuliokutana kuanzia tarehe 24 hadi 26 Juni 2015, hapa Dar es Salaam tumechangia mawazo yetu katika kuandaa Mkataba huu na kuuridhia. Lengo la Mkataba huu ni kutambulisha umma wa Watanzania haki zetu, mahitaji yetu na changamoto tunazokumbana nazo ili ziweze kupatiwa ufumbuzi. KWAMBA, Mkataba huu ni nyenzo ya kuhakikisha kuwa wagombea wote katika nafasi mbalimbali za uongozi na Serikali kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWachora vibonzo tujitokeze, tupaze sauti ili serikali awamu ya tano ijue matarajio yetu
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Je! Kuna mategemeo chanya katika sekta ya utalii katika serikali ya awamu ya tano?
Dr. John Pombe Magufuli, mshindi wa kiti cha Urais Tanzania.
Ni siku chache tu zimepita tangu Jaji Mstaafu Damian Lubuva, mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza mgombea wa kiti cha Urais Dr.John Pombe Magufuli kuwa ndiye mshindi aliyeongoza kwa kura za asilimia 58.46% ya jumla za kura halali katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015.
Andrea Guzzoni Meneja mkazi wa JovagoTanzania, ametoa pongezi katika kipindi kizima cha shughuli za uchaguzi ambapo Tume ya Uchaguzi na...
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Je! Kuna mategemeo chanya kwenye sekta ya utalii katika serikali ya awamu ya tano?
Dr. John Pombe Magufuli, mshindi wa kiti cha Urais Tanzania.
Ni siku chache tu zimepita tangu Jaji Mstaafu Damian Lubuva, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza mgombea wa kiti cha Urais Dr.John Pombe Magufuli kuwa ndiye mshindi aliyeongoza kwa kura za asilimia 58.46% ya jumla za kura halali katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015.
Andrea Guzzoni Meneja mkazi wa JovagoTanzania, ametoa pongezi katika kipindi kizima cha shughuli za uchaguzi ambapo Tume ya Uchaguzi na...
5 years ago
MichuziNBC WAENDELEA KUUNGA MKONO SERIKALI YA AWAMU YA TANO KATIKA SEKTA YA KILIMO, UVUVI NA UFUGAJI
Hayo yamesemwa wakati wa Mkutano wa wadau katika Kuongeza tija kwenye sekta ya kilimo na mifugo kwa maendeleo ya Viwanda.
Mkutano huo uliodhaminiwa na Benki ya Biashara ya NBC, umeweza kuhudhuriwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa, Waziri wa Ufugaji na Uvuvi Luhaga Mpina na Naibu Waziri wa...
5 years ago
MichuziWanawake katika kipindi cha serikali ya awamu ya Tano wamefanya vizuri –Katibu Tawala Makame
*Maafisa Rasilamali watakiwa kufuata sheria za upandishaji Vyeo
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Wanawake wengi waliopata nafasi wameonyesha uwezo wa kufanya vizuri hali ambayo imefanya kubaki katika nafasi zao ikilinganishwa na wanaume kwa kipindi cha miaka mitano.
Hayo aliysema Katibu wa Tawala Wilaya Ilala Jabir Makame katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chuo cha Biashara (CBE). Makame ambaye...
10 years ago
Michuzi08 Jul
9 years ago
CCM BlogMAWAZIRI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO WAAPISHWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Wiliam Lukuvi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Sheria na Katiba.
Rais wa...
9 years ago
StarTV09 Nov
Wazee Tanzania wakabiliwa na changamoto za upatikanaji wa mahitaji muhimu.
Nchi ya Tanzania inatajwa kuwa ni nchi ya 91 kati ya nchi 96 Duniani kwa Wazee kuwa kuishi katika hali hatarishi kwa kukosa mahitaji muhimu ikiwemo afya, elimu, chakula na malazi.
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la PADI Is-haka Msigwa ameyasema hayo wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Ruvuma katika kutafuta njia ya kuwakwamua wazee ili waondokane na changamoto hiyo.
Mkurugenzi wa shirika la PADI linalohudumia wazee Nchini Tanzania Is-haka Msigwa amesema Tanzania ina wazee...
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Magufuli: Serikali ya awamu ya tano itakuwa ya viwanda