Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachora vibonzo tujitokeze, tupaze sauti ili serikali awamu ya tano ijue matarajio yetu

Mchora vibonzo Nathan Mpangala akifundisha uchoraji baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Koboko, Moshi mwaka 2011. Ili tufanikiwe katika sanaa, uibuaji na ukuzaji vipaji kuanzia umri mdogo havikwepeki.Hivi karibuni, Rais wa Jamhuri wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ameteua Baraza la Mawaziri ikiwemo Wizara ya Habari, Michezo, Utamaduni na Wasanii (Sanaa) inayoongozwa na Mh. Nape Nnahuye. Binafsi kutajwa moja kwa moja  kwa wasanii (wa sanaa za ufundi, muziki, filamu na jukwaani) katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MKATABA KUHUSU MAHITAJI NA MATARAJIO YA WAZEE TANZANIA KUTOKA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA TANO 2015

UTANGULIZI


KWAMBA, sisi wazee wa Tanzania ambao tumewakilisha wazee wenzetu, kutoka mikoa yote nchini, tuliokutana kuanzia tarehe 24 hadi 26 Juni 2015, hapa Dar es Salaam tumechangia mawazo yetu katika kuandaa Mkataba huu na kuuridhia. Lengo la Mkataba huu ni kutambulisha umma wa Watanzania haki zetu, mahitaji yetu na changamoto tunazokumbana nazo ili ziweze kupatiwa ufumbuzi.

KWAMBA, Mkataba huu ni nyenzo ya kuhakikisha kuwa wagombea wote katika nafasi mbalimbali za uongozi na Serikali kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi tupaze sauti kukemea ukosefu wa dawa hospitalini

HIVI karibuni iliripotiwa kuwa hospitali za umma zinakabiliwa na uhaba wa dawa na vifaatiba, hali inayowaathiri zaidi wananchi wa kipato cha chini. Kuathirika huko kwa wananchi kunatokana na ukweli kwamba...

 

9 years ago

CCM Blog

MAWAZIRI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO WAAPISHWA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ,Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Wiliam Lukuvi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Sheria na Katiba.
  Rais wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Serikali ya awamu ya tano itakuwa ya viwanda

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuwa rais atahakikishwa Tanga inakuwa mji wa viwanda.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YA AWAMU YA TANO ITAKUWA NI YA VIWANDA-MAGUFULI

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt Magufuli akiwasalimia maelfu ya Wananchi waliofika katika uwanja wa Barafu mjini Igunga,Dkt Magufuli aliwahutubia wananchi hao. Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli akisisitiza mbele ya maelfu ya Wakazi wa mji wa Igunga jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara kuwa Serikali ya awamu ya tano itajenga viwanda mbalimbali vikiwamo viwanda vya nguo ikiwa ni mkakati wa kuinua zao la pamba ambalo linalimwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kashfa tano zimeitesa Serikali ya awamu ya nne

Ndugu wasomaji wangu leo nikiwa hapa hapa Tanzania baada ya mwaka wa 2014 kugeuka na sasa tuko 2015, ni mwaka ambao kwanza kwa maombi yangu na kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu tuliouona mwaka 2015 tujiandae kwa mengi makubwa.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YA AWAMU YA TANO YAOMBWA KUREKEBISHA ADHABU YA KIFO

Kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wajane na kusaidia watoto,Utti Mwang’amba akizungumza na waandishi habari juu ya  serikali ya awamu ya tano kurekebisha sheria ya kifo kwa makundi maalum iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Pamoja na wajumbe waliohudhuria katika mkutano huo.Waandishi wa habari wakifatilia taarifa katika ukumbi wa idara ya habari Maelezo  leo jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
TAASISI  ya Children Education Society (CHESO) ...

 

9 years ago

Mwananchi

DK Magufuli aapishwa rasmi kuongoza serikali ya awamu ya tano

Rais Mteule John Magufuli leo ameapishwa kuwa rais awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kusema anafahamu majukumu makubwa aliyonayo kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani