Wazee Tanzania wakabiliwa na changamoto za upatikanaji wa mahitaji muhimu.
Nchi ya Tanzania inatajwa kuwa ni nchi ya 91 kati ya nchi 96 Duniani kwa Wazee kuwa kuishi katika hali hatarishi kwa kukosa mahitaji muhimu ikiwemo afya, elimu, chakula na malazi.
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la PADI Is-haka Msigwa ameyasema hayo wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Ruvuma katika kutafuta njia ya kuwakwamua wazee ili waondokane na changamoto hiyo.
Mkurugenzi wa shirika la PADI linalohudumia wazee Nchini Tanzania Is-haka Msigwa amesema Tanzania ina wazee...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo29 Aug
MKATABA KUHUSU MAHITAJI NA MATARAJIO YA WAZEE TANZANIA KUTOKA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA TANO 2015
KWAMBA, sisi wazee wa Tanzania ambao tumewakilisha wazee wenzetu, kutoka mikoa yote nchini, tuliokutana kuanzia tarehe 24 hadi 26 Juni 2015, hapa Dar es Salaam tumechangia mawazo yetu katika kuandaa Mkataba huu na kuuridhia. Lengo la Mkataba huu ni kutambulisha umma wa Watanzania haki zetu, mahitaji yetu na changamoto tunazokumbana nazo ili ziweze kupatiwa ufumbuzi. KWAMBA, Mkataba huu ni nyenzo ya kuhakikisha kuwa wagombea wote katika nafasi mbalimbali za uongozi na Serikali kwa...
10 years ago
Habarileo23 Aug
Stamigold wakabiliwa na changamoto za maji
MGODI wa dhahabu wa Stamigold Biharamulo unakabiliwa na changamoto ya uhaba wa maji kutokana na kutegemea vyanzo viwili vya mto Muhama na Isobizi.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Kigamboni wakabiliwa changamoto ya usafiri
WAKAZI wa Kigamboni na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam, wanakabiliwa na changamoto ya usafiri kwenda katikati ya jiji kutokana na kivuko cha MV Kigamboni kupelekwa nchini Kenya kwa matengenezo....
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Wakulima wa Tumbaku wakabiliwa na changamoto ya bei
Mkuu wa wilaya ya Manyoni,Bi Fatma Hassani Toufiq akifunga mkutano wa kwanza wa uzinduzi wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi, uliofanyika hivi karibuni mjini hapa.
Baadhi ya wananchi,madiwani na wakulima wa zao la tumbaku wa tarafa ya Itigi waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi, wilayani Manyoni.
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi, wilayani Manyoni akiwemo Diwani wa kata ya Rungwa, Bwana Charles Machapaa wakiwa mkutanoni.(Picha zote na Jumbe...
5 years ago
Michuzi11 Jun
WAJASIRIAMALI MWANZO MGUMU WAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA USAFIRI KUSAFIRISHA MAWE
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/IMG-20200610-WA0035.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/IMG-20200610-WA0036.jpg)
***************************
NA MWAMVUA MWINYI
WAJASIRIAMALI wa Kikundi cha Mwanzo Mgumu, kilichopo Kijiji cha Kwedikwazu Kata ya Kabuku wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga, wanahitaji usafiri utaowarahisishia kazi zao za ubebaji wa mawe.
Wakizungumza na Waandishi wa habari katika eneo wanalofanya shughuli zao za kubangua mawe, Wajasiriamali hao walisema kuwa wananufaika na machimbo ya mawe yanayotumika kutengenea Marumaru na Jipsam katika majengo mbalimbali.
Katibu wa kikundi hicho Saumu Kisaka...
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Haya ndiyo mahitaji muhimu ya biashara
11 years ago
Michuzi14 Jul
MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/119.jpg)
9 years ago
StarTV21 Dec
Upatikanaji wa walimu wa ufundi stadi bado changamoto
Ukosefu wa ajira ya moja kwa moja kutoka Serikalini kwa walimu wenye taaluma ya ufundi stadi, imeelezwa bado ni changamoto kubwa inayowakabili walimu hao, hatua inayosababisha baadhi ya vyuo vya Ufundi stadi nchini, kuajiri walimu wasio na sifa zinazojitosheleza katika kada hiyo.
Mpaka sasa Tanzania ina chuo kimoja pekee, kinachofundisha ualimu wa ufundi stadi, huku changamoto ya soko la ajira kwa wahitimu wanaomaliza katika chuo hicho bado halijatafutiwa utatuzi.
Tanzania iko katika...
5 years ago
MichuziTCRA CCC YATOA CHANGAMOTO ZA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM -PATANDI
Anayezungumza ni Katibu Mtendaji kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania (TCRA CCC )Mary Shao Msuya,kulia kwake ni Mhandisi mwandamizi TCRA Jan Kaaya ,akifuatiwa na mjumbe wa Baraza
Mmoja wa wanafunzi mwenye ulemavu wa ngozi na uoni hafifu kutoka Chuo cha Ualimu Patandi akiuliza swali kwa Baraza la Usahauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha ualimu Patandi waliojikusanya kwaajili ya kupatiwa elimu juu ya matumizi...