Upatikanaji wa walimu wa ufundi stadi bado changamoto
Ukosefu wa ajira ya moja kwa moja kutoka Serikalini kwa walimu wenye taaluma ya ufundi stadi, imeelezwa bado ni changamoto kubwa inayowakabili walimu hao, hatua inayosababisha baadhi ya vyuo vya Ufundi stadi nchini, kuajiri walimu wasio na sifa zinazojitosheleza katika kada hiyo.
Mpaka sasa Tanzania ina chuo kimoja pekee, kinachofundisha ualimu wa ufundi stadi, huku changamoto ya soko la ajira kwa wahitimu wanaomaliza katika chuo hicho bado halijatafutiwa utatuzi.
Tanzania iko katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV02 Oct
Uhaba wa walimu, malipo, vitendea kazi bado changamoto
Changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini zinachangia kurudisha nyuma sekta hiyo na kusababisha wanafunzi kutotambua mahitaji yao baada ya kuhitimu masomo.
Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na uhaba wa walimu, uwepo wa mitaala isiyokidhi mahitaji ya kielimu, ucheleweshwaji wa malipo kwa walimu na uhaba wa vitabu na vitendea kazi mashuleni.
Changamoto nyingine ni mazingira magumu ya kazi kwa walimu, wingi wa idadi ya masomo kwa wanafunzi pamoja na urundikanaji wa watoto...
9 years ago
Habarileo06 Dec
Serikali yahimizwa vyuo vya ufundi stadi
SERIKALI imetakiwa kuwekeza kwenye elimu ya vyuo vya ufundi stadi kwa lengo la kuviboresha na kutoa wahitimu bora hasa vijana.
10 years ago
Michuzi15 Sep
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO CHA UFUNDI STADI MASIGITUNDA
1. MKUU WA CHUO NAFASI MOJA (1):
AWE NA SIFA ZIFUATAZO;
1. AMEMALIZA KIDATO CHA NNE2. AWE NA DEGREE YA UALIMU NA UONGOZI3. AWE NA UFAHAMU WA UTUMIAJI COMPUTER4. AWE NA UZOEFU WA UTAWALA5. AWE NA UZOEFU WA KAZI MIAKA MIWILI (2)
2. MWALIMU WA UASHI NAFASI MOJA (1):
AWE NA SIFA ZIFUATAZO;
1. AMEMALIZA KIDATO CHA NNE2. AWE NA CHETI CHA UFUNDI UASHI GRADE I AU CBET LEVEL III3. AWE NA...
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Tanzania, Japan watiliana saini ujenzi wa kituo cha ufundi stadi Ileje
Signing the grant contract, witnessed by Hon. Janet Mbene, Deputy Minister of Industry and Trade, and Hon. Rosemary Senyamule, Ileje District Commissioner. Front line from the left: Mr. Mussa Otieno, District Executive Director, Mr. Simon Mwango’nda, Executire Director of the recipient organisation, Integrated Rural Development Organisation, Mr. Kazuyoshi Matsunaga, Chargé d’affaires of the Embassy of Japan.
Na Mwandishi wetu
MKATABA wa Ujenzi wa kituo cha mafunzo ya ufundi stadi katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SAov3QGzt_4/Xt5CCYj5DzI/AAAAAAALtEY/2mhMnRe8bDElTlH1pH-dPo5mWnKY679vgCLcBGAsYHQ/s72-c/4.jpg)
Waziri Ndalichako aiagiza Bodi ya VETA kusogeza mafunzo ya Ufundi Stadi karibu zaidi na wananchi
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof. Joyce Ndalichako, ameiagiza Bodi mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kuhakikisha mafunzo ya ufundi stadi yanawafikia Watanzania wengi zaidi ili kutatua changamoto ya ajira kwa vijana na kuchochea kasi ya uanzishwaji wa viwanda nchini.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Nane ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, tarehe 8 Juni, 2020, Prof. Ndalichako amesema kuwa elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni moja ya...
9 years ago
MichuziVETA KANDA YA DAR ES SALAAM YAFANYA MKUTANO NA WAMILIKI PAMOJA NA WAKUU WA VYUO VYA UFUNDI STADI
9 years ago
VijimamboVETA KANDA YA DAR ES SALAAM YAFANYA MKUTANO NA WAMILIKI PAMOJA NA WAKUU WA VYUO VYA UFUNDI STADI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NeZSb8inmZg/XsNwbcdl5GI/AAAAAAALqtU/fB7I1rBmzecoLfLGFJIJnH212rT3ZKKxwCLcBGAsYHQ/s72-c/873cfe13-d758-4251-8b9e-f44638d623d6.jpg)
JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI
Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .
Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.
Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA NCHI ZA AFRIKA KUANZISHA MAFUNZO YA MAFUTA NA GESI KATIKA VYUO VYA UFUNDI STADI