Waziri Ndalichako aiagiza Bodi ya VETA kusogeza mafunzo ya Ufundi Stadi karibu zaidi na wananchi
![](https://1.bp.blogspot.com/-SAov3QGzt_4/Xt5CCYj5DzI/AAAAAAALtEY/2mhMnRe8bDElTlH1pH-dPo5mWnKY679vgCLcBGAsYHQ/s72-c/4.jpg)
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof. Joyce Ndalichako, ameiagiza Bodi mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kuhakikisha mafunzo ya ufundi stadi yanawafikia Watanzania wengi zaidi ili kutatua changamoto ya ajira kwa vijana na kuchochea kasi ya uanzishwaji wa viwanda nchini.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Nane ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, tarehe 8 Juni, 2020, Prof. Ndalichako amesema kuwa elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni moja ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboVETA KANDA YA DAR ES SALAAM YAFANYA MKUTANO NA WAMILIKI PAMOJA NA WAKUU WA VYUO VYA UFUNDI STADI
9 years ago
MichuziVETA KANDA YA DAR ES SALAAM YAFANYA MKUTANO NA WAMILIKI PAMOJA NA WAKUU WA VYUO VYA UFUNDI STADI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bDmn0HsVPGk/Uu9UH7pQ-sI/AAAAAAAFKkI/U3Iw-QCJfg8/s72-c/b1.jpg)
NAIBU WA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI Mhe. JENISTA MHAGAMA ATEMBELEA BODI YA MIKOPO
![](http://1.bp.blogspot.com/-bDmn0HsVPGk/Uu9UH7pQ-sI/AAAAAAAFKkI/U3Iw-QCJfg8/s1600/b1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WBj34chFglo/Uu9UN_wJFNI/AAAAAAAFKkQ/y0CzgrbfGg4/s1600/b3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-IJiW8VB4luo/Uu9UTj5wFfI/AAAAAAAFKkg/CcnbtbcGjNk/s1600/b5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-6cWV-OdvY7U/Uu9UOGHwgWI/AAAAAAAFKkc/Kr5oTzBtWD8/s1600/b2.jpg)
Naibu Waziri Mhe. Jenista Mhagama (kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya...
11 years ago
GPLNMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WATEJA WAKE
9 years ago
StarTV04 Jan
 Duka la dawa lafunguliwa jijini Arusha ili kusogeza huduma karibu na wananchi
Bohari kuu ya dawa imefungua duka la dawa jijini Arusha litakalohudumia mikoa ya kanda ya kaskazini.
Kuanzishwa kwa duka hilo ni utekelezaji wa agizo la rais lililowataka watendaji waliopo katika sekta ya afya kusogeza huduma ya upatikanaji wa dawa jirani na wananchi.
Akizungumza katika hospitali ya mkoa wa Arusha ya Mount Meru mahali lilipo duka hili Meneja wa bohari kuu ya dawa kanda ya kaskazini Selestine Haule amesema kuanzishwa kwa duka hili kutarahisisha upatikanaji wa dawa...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA NCHI ZA AFRIKA KUANZISHA MAFUNZO YA MAFUTA NA GESI KATIKA VYUO VYA UFUNDI STADI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-N8wRFTPcsMI/VoUqqjRkNRI/AAAAAAAIPls/UGSTxmR-nxY/s72-c/001.WAZIRI.jpg)
WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOGIA NA UFUNDI PROFESA. JOYCE NDALICHAKO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NACTE
![](http://2.bp.blogspot.com/-N8wRFTPcsMI/VoUqqjRkNRI/AAAAAAAIPls/UGSTxmR-nxY/s640/001.WAZIRI.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-9dkmyE-C1vw/VoUqqwOKSoI/AAAAAAAIPlw/5R3KX7QQwAE/s640/002.WAZIRI.jpg)
10 years ago
Habarileo12 Jul
Wajerumani wasaidia VETA kufua mafundi stadi
TANZANIA itafaidika kwa kupata mafundi stadi mahiri kama walivyo Wajerumani, baada ya kuzinduliwa kwa awamu ya pili ya Mafunzo ya Uanagenzi, yatakayoendeshwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ushirikiano na serikali ya Ujerumani kupitia Taasisi ya Hamburg Chamber of Skilled Craft.
9 years ago
StarTV21 Dec
Upatikanaji wa walimu wa ufundi stadi bado changamoto
Ukosefu wa ajira ya moja kwa moja kutoka Serikalini kwa walimu wenye taaluma ya ufundi stadi, imeelezwa bado ni changamoto kubwa inayowakabili walimu hao, hatua inayosababisha baadhi ya vyuo vya Ufundi stadi nchini, kuajiri walimu wasio na sifa zinazojitosheleza katika kada hiyo.
Mpaka sasa Tanzania ina chuo kimoja pekee, kinachofundisha ualimu wa ufundi stadi, huku changamoto ya soko la ajira kwa wahitimu wanaomaliza katika chuo hicho bado halijatafutiwa utatuzi.
Tanzania iko katika...