Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Philadelphia 76ers wamnunua Hasheem Thabeet kutoka Oklahoma City Thunder, lakini..

Oklahoma City Thunder wamemuuza Hasheem Thabeet kwa timu ya Philadelphia 76ers. Vyanzo vinadai kuwa mabadilishano hayo yaliyofanyika Jumanne hii yataifanya Sixers kupata kile kiitwacho ‘cash considerations’ kuchukua mkataba wa Thabeet. Sixers, wanadaiwa kuwa watamwacha Thabeet mapema na Oklahoma City itaokoa kiasi cha dola milioni 1.25 kwa kumuuza Thabeet bila kuchukua mshahara wowote. Thabeet hatarajiwi kuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HASHEEM THABEET AUZWA PHILADELPHIA 76ERS

STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda Philadelphia 76ers. Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna madai kuwa staa huyo huenda asikae sana katika timu hiyo na kwamba atauzwa hivi…

 

10 years ago

Bongo5

Detroit Pistons huenda ikamchukua Hasheem Thabeet lakini..

Hasheem Thabeet anadaiwa kuwepo kwenye roaster ya mazoezi ya timu ya kikapu ya Detroit Pistons ambayo huenda ikamsaini kwa mkataba usiokuwa na ‘guarantee’. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa ESPN. Thabeet ameichezea Oklahoma City Thunder kwa misimu miwili kabla ya kuuzwa kwa Philadelphia 76ers ambao walimwacha huru. Hata hivyo sio rahisi kwa Thabeet kuanza kuichezea […]

 

10 years ago

Vijimambo

HASHEEM THABEET ASHUHUDIA KIPIGO TANZANIA BARA CHA GOLI 7-1 KUTOKA KWA ZANZIBAR HEROES

 wachezaji na mashabiki wakipata ukodak moment na mchezaji wa kikapu wa Tanzania nchini Marekani Hasheem Thabeet wakati mchezaji huyo alipojumuika na Watanzania wenzake uwanjani hapo kusherehekea sherehe ya Muungano ya nyama choma na mechi ya mprira wa miguu kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumamosi April 25, 2015 iliyodhaminiwa na Peoples Bank of Zanzibar na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi. Gadaf akijipima urefu kwa kuruka juu iliamfikie  mchezaji wa kikapu...

 

10 years ago

Bongo5

Hasheem Thabeet awaaga rasmi OKC kupitia Instagram

Pindi timu ya Oklahoma City Thunder imetangaza kuwa imemuuza Hasheem Thabeet kwa Philadelphia 76ers, timu hiyo ilimuacha aondoke mmoja wa wachezaji wake waliokuwa wakipendwa. Jumanne hii, Thabeet alitumia mtandao wa Instagram kutoa shukrani zake kwa timu hiyo. “I WANNA TAKE A SECOND TO THANK YOU OKC.. THE ENTIRE THUNDER ORGANIZATION AND THE FANS HAVE BEEN […]

 

10 years ago

Bongo5

Hasheem Thabeet atosa ofa za Ulaya, arudi kwenye D League

Timu ya Grand Rapids Drive imesajili wachezaji sita kwaajili ya ligi ya NBA-D League akiwemo  Hasheem Thabeet. D-League ni ligi iliyo chini ya NBA. Hivi karibuni Thabeet  ambaye alitemwa na Detroit Pistons alitosa ofa za kujiunga na timu za Ulaya. Hii ni mara ya pili kwa Thabeet kucheza kwenye D-League. Mkurugenzi mkuu wa Detroit Pistons, […]

 

10 years ago

CloudsFM

Picha:Miss U.S.A 2015 — Olivia Jordan kutoka Oklahoma

uJana July 12 katika jiji la Baton Rouge nchini marekani lilifanyika tukio kubwa la kumsaka mrembo wa kuiwakilisha USA kwa mwaka 2015 ambapo mwana dada Olivia ndie aliibuka mshindi kwa kuchukua tuzo ya heshima ya kuwa miss Usa mwaka 2015.

wadhifa wa miss Olivia pia ni muigizaji maarufu katia series tofauti tofati ambazo pia zimefanya vizuri.Olivia Jordan mwenye umri wa miaka 26 ushindi wake unalinganishwa na mwana dada Sancez 25 ambae alitwaa taji hilo mwaka jana.Washiriki walikuwa ni wengi...

 

9 years ago

Bongo5

DMX aachiwa kutoka jela, lakini anaweza kurudishwa tena!

Rapper DMX ameachiwa huru kutoka jela siku ya Ijumaa Sept 26 japo kuna uwezekano wa kurudishwa ndani muda wowote tena. Mwezi July rapper huyo alihukumiwa miezi sita jela baada ya kushindwa kulipa matumizi ya mtoto, lakini alijitetea kuwa hakufahamu kama mwanamke aliyezaa naye alikuwa akimdai pesa yoyote, kwa mujibu wa TMZ. Licha ya kuwa ameachiwa, […]

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON :Mahitaji ya mwanadamu ni matatu lakini hutofautiana kitamaduni

Ili aishi, mwanadamu anahitaji malezi, mavazi na chakula. Hana haja ya kuondoka kwao kama vitu hivyo vya msingi vipo. Viongozi wa Ulaya sasa hivi wanakinzana wakishangaa namna wakimbizi na wahamiaji wanaoyakwepa maeneo yenye tafrani Afrika na Mashariki ya Kati, hususan, Syria... Mwanadamu ahitaji malezi, chakula na mavazi kuishi, ila haya huendana na utamaduni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi apatikana na hatia ya ubakaji Oklahoma

Afisa mmoja wa polisi mjini Oklahoma amepatikana na hatia ya ubakaji pamoja na kumnyanyasa mwanamke mmoja mweusi katika eneo la umasikini alilokuwa akifanya kazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani