Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hasheem Thabeet awaaga rasmi OKC kupitia Instagram

Pindi timu ya Oklahoma City Thunder imetangaza kuwa imemuuza Hasheem Thabeet kwa Philadelphia 76ers, timu hiyo ilimuacha aondoke mmoja wa wachezaji wake waliokuwa wakipendwa. Jumanne hii, Thabeet alitumia mtandao wa Instagram kutoa shukrani zake kwa timu hiyo. “I WANNA TAKE A SECOND TO THANK YOU OKC.. THE ENTIRE THUNDER ORGANIZATION AND THE FANS HAVE BEEN […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HASHEEM THABEET AUZWA PHILADELPHIA 76ERS

STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda Philadelphia 76ers. Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna madai kuwa staa huyo huenda asikae sana katika timu hiyo na kwamba atauzwa hivi…

 

10 years ago

Bongo5

Detroit Pistons huenda ikamchukua Hasheem Thabeet lakini..

Hasheem Thabeet anadaiwa kuwepo kwenye roaster ya mazoezi ya timu ya kikapu ya Detroit Pistons ambayo huenda ikamsaini kwa mkataba usiokuwa na ‘guarantee’. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa ESPN. Thabeet ameichezea Oklahoma City Thunder kwa misimu miwili kabla ya kuuzwa kwa Philadelphia 76ers ambao walimwacha huru. Hata hivyo sio rahisi kwa Thabeet kuanza kuichezea […]

 

10 years ago

Bongo5

Hasheem Thabeet atosa ofa za Ulaya, arudi kwenye D League

Timu ya Grand Rapids Drive imesajili wachezaji sita kwaajili ya ligi ya NBA-D League akiwemo  Hasheem Thabeet. D-League ni ligi iliyo chini ya NBA. Hivi karibuni Thabeet  ambaye alitemwa na Detroit Pistons alitosa ofa za kujiunga na timu za Ulaya. Hii ni mara ya pili kwa Thabeet kucheza kwenye D-League. Mkurugenzi mkuu wa Detroit Pistons, […]

 

10 years ago

Bongo5

Philadelphia 76ers wamnunua Hasheem Thabeet kutoka Oklahoma City Thunder, lakini..

Oklahoma City Thunder wamemuuza Hasheem Thabeet kwa timu ya Philadelphia 76ers. Vyanzo vinadai kuwa mabadilishano hayo yaliyofanyika Jumanne hii yataifanya Sixers kupata kile kiitwacho ‘cash considerations’ kuchukua mkataba wa Thabeet. Sixers, wanadaiwa kuwa watamwacha Thabeet mapema na Oklahoma City itaokoa kiasi cha dola milioni 1.25 kwa kumuuza Thabeet bila kuchukua mshahara wowote. Thabeet hatarajiwi kuwa […]

 

10 years ago

Vijimambo

HASHEEM THABEET ASHUHUDIA KIPIGO TANZANIA BARA CHA GOLI 7-1 KUTOKA KWA ZANZIBAR HEROES

 wachezaji na mashabiki wakipata ukodak moment na mchezaji wa kikapu wa Tanzania nchini Marekani Hasheem Thabeet wakati mchezaji huyo alipojumuika na Watanzania wenzake uwanjani hapo kusherehekea sherehe ya Muungano ya nyama choma na mechi ya mprira wa miguu kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumamosi April 25, 2015 iliyodhaminiwa na Peoples Bank of Zanzibar na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi. Gadaf akijipima urefu kwa kuruka juu iliamfikie  mchezaji wa kikapu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Miaka 10 ya Zitto Kabwe yaishia mji wa Mwandiga, awaaga rasmi wapiga kura wake jimboni

Vijana wa Kigoma wakiwa na bango wakimsubiri Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.(Picha zote na www.issamichuzi.blogspot.com).

Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.

Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” akiwa amebebwa na  wananchi wa jimboni kwake alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.

005

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Mulamula awaaga TAMCO rasmi, asema umoja na mshikamano wao ni mfano wa kuigwa na jumuiya zingine

Na Mwandishi wetu, Washington, DC

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na aliyekua Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula siku ya Jumapili July 12, 2014 alijumuika na wanajumuiya ya Kiislam ya DMV (TAMCO) katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na jumuiya hiyo na kutumia fulsa hiyo kuwaaga rasmi.

Katika hotuba yake. Mhe. Liberata Mulamula  aliwakuwakumbusha alipokuja kwa mara ya kwanza kulitumikia Taifa kama Balozi wa Tanzania nchini Marekani ,...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI LIBERATA MULAMULA AWAAGA TAMCO RASMI, ASEMA UMOJA NA MSHIKAMANO WAO NI MFANO WA KUIGWA NA JUMUIYA ZINGINE

Na Mwandishi wetu, Washington, DCKatibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na aliyekua Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula leo jioni siku ya Jumapili July 12, 2014 alijumuika na wanajumuiya ya Kiislam ya DMV (TAMCO) katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na jumuiya hiyo na kutumia fulsa hiyo kuwaaga rasmi.
Katika hotuba yake. Mhe. Liberata Mulamula  aliwakuwakumbusha alipokuja kwa mara ya kwanza kulitumikia Taifa kama Balozi wa Tanzania nchini...

 

9 years ago

Bongo5

Instagram yaboresha huduma yake ya ‘Instagram Direct’

Habari njema kwa watumiaji wa mtandao wa kushare picha wa Instagram ni kuwa, huduma ya ‘Instagram Direct’ sasa imeboreshwa zaidi. Instagram Direct ni huduma inayowawezesha watumiaji kuweza kutumiana picha, video na ujumbe binafsi kwa mtu mmoja, au kundi la watu atakaowachagua mwenyewe bila mtu mwingine kuona. Hivi sasa kuna ki mshale kimeongezwa pembeni mwa icon […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani