HASHEEM THABEET ASHUHUDIA KIPIGO TANZANIA BARA CHA GOLI 7-1 KUTOKA KWA ZANZIBAR HEROES
wachezaji na mashabiki wakipata ukodak moment na mchezaji wa kikapu wa Tanzania nchini Marekani Hasheem Thabeet wakati mchezaji huyo alipojumuika na Watanzania wenzake uwanjani hapo kusherehekea sherehe ya Muungano ya nyama choma na mechi ya mprira wa miguu kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumamosi April 25, 2015 iliyodhaminiwa na Peoples Bank of Zanzibar na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi.
Gadaf akijipima urefu kwa kuruka juu iliamfikie mchezaji wa kikapu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTANZANIA BARA YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 7-1 KUTOKA ZANZIBAR HEROES WADAI WAMEFUNGWA KUIMARISHA MUUNGANO
10 years ago
Bongo527 Aug
Philadelphia 76ers wamnunua Hasheem Thabeet kutoka Oklahoma City Thunder, lakini..
10 years ago
VijimamboMTANANGE WA ZANZIBAR HEROES NA TANZANIA BARA KATIKA PICHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFWXpn3Ah-0wGhx6vz5AAXE8erRYGKzQ7KZA-IEZi9SHb8V66M7P4l*GhVX*W0H8j3BrsYTtENzbq2wAHBgF7mW1/hasheemthabeet.jpg?width=650)
HASHEEM THABEET AUZWA PHILADELPHIA 76ERS
10 years ago
Bongo527 Sep
Detroit Pistons huenda ikamchukua Hasheem Thabeet lakini..
10 years ago
Bongo524 Sep
Hasheem Thabeet awaaga rasmi OKC kupitia Instagram
10 years ago
Bongo502 Nov
Hasheem Thabeet atosa ofa za Ulaya, arudi kwenye D League
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Timu ya Zanzibar Heroes ya Marekani yapokea jezi kutoka kwa wahisani wa PBZ
Katika kilele cha kusherehekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Timu ya Zanzibar Heroes kupokea Jezi kutoa kwa wadhaminini wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ambazo jezi hizo zilitolewa na wageni rasmi walihudhuria katika sherehe hizo akiwemo Mh. Mwigulu Nchemba ambae ni Mbunge na naibu waziri wa fedha na Uchumi Tanzania bara na upande wa Zanzibar pamoja na Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame mwakilishi na waziri wa nchi ofisi ya rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Majina ya Zanzibar, Tanzania Bara ni sumu kwa Muungano
MNYUKANO unaoendelea kwa sasa katika Bunge Maalumu la Katiba ni wa muundo wa Muungano wa Tanzania. Ni katika mjadala wa serikali mbili dhidi ya serikali tatu kama zilivyopendekezwa kwenye Rasimu...