Detroit Pistons huenda ikamchukua Hasheem Thabeet lakini..
Hasheem Thabeet anadaiwa kuwepo kwenye roaster ya mazoezi ya timu ya kikapu ya Detroit Pistons ambayo huenda ikamsaini kwa mkataba usiokuwa na ‘guarantee’. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa ESPN. Thabeet ameichezea Oklahoma City Thunder kwa misimu miwili kabla ya kuuzwa kwa Philadelphia 76ers ambao walimwacha huru. Hata hivyo sio rahisi kwa Thabeet kuanza kuichezea […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo527 Aug
Philadelphia 76ers wamnunua Hasheem Thabeet kutoka Oklahoma City Thunder, lakini..
Oklahoma City Thunder wamemuuza Hasheem Thabeet kwa timu ya Philadelphia 76ers. Vyanzo vinadai kuwa mabadilishano hayo yaliyofanyika Jumanne hii yataifanya Sixers kupata kile kiitwacho ‘cash considerations’ kuchukua mkataba wa Thabeet. Sixers, wanadaiwa kuwa watamwacha Thabeet mapema na Oklahoma City itaokoa kiasi cha dola milioni 1.25 kwa kumuuza Thabeet bila kuchukua mshahara wowote. Thabeet hatarajiwi kuwa […]
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Pistons yamtema Hasheem
Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFWXpn3Ah-0wGhx6vz5AAXE8erRYGKzQ7KZA-IEZi9SHb8V66M7P4l*GhVX*W0H8j3BrsYTtENzbq2wAHBgF7mW1/hasheemthabeet.jpg?width=650)
HASHEEM THABEET AUZWA PHILADELPHIA 76ERS
STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda Philadelphia 76ers. Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna madai kuwa staa huyo huenda asikae sana katika timu hiyo na kwamba atauzwa hivi…
10 years ago
Bongo524 Sep
Hasheem Thabeet awaaga rasmi OKC kupitia Instagram
Pindi timu ya Oklahoma City Thunder imetangaza kuwa imemuuza Hasheem Thabeet kwa Philadelphia 76ers, timu hiyo ilimuacha aondoke mmoja wa wachezaji wake waliokuwa wakipendwa. Jumanne hii, Thabeet alitumia mtandao wa Instagram kutoa shukrani zake kwa timu hiyo. “I WANNA TAKE A SECOND TO THANK YOU OKC.. THE ENTIRE THUNDER ORGANIZATION AND THE FANS HAVE BEEN […]
10 years ago
Bongo502 Nov
Hasheem Thabeet atosa ofa za Ulaya, arudi kwenye D League
Timu ya Grand Rapids Drive imesajili wachezaji sita kwaajili ya ligi ya NBA-D League akiwemo Hasheem Thabeet. D-League ni ligi iliyo chini ya NBA. Hivi karibuni Thabeet ambaye alitemwa na Detroit Pistons alitosa ofa za kujiunga na timu za Ulaya. Hii ni mara ya pili kwa Thabeet kucheza kwenye D-League. Mkurugenzi mkuu wa Detroit Pistons, […]
10 years ago
VijimamboHASHEEM THABEET ASHUHUDIA KIPIGO TANZANIA BARA CHA GOLI 7-1 KUTOKA KWA ZANZIBAR HEROES
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya corona: Huenda Afrika iliyachelewesha maambukizi lakini haikuyadhibiti
Nilitumia wakati wangu mwingi kuwafuatilia baadhi ya maafisa wa polisi wa Afrika Kuisni wakati wakipiga doria katika barabara nyembamba na zenye giza za mji wa Alexandria kandokando ya mji wa Johannesburg.
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Binti wa miaka 19 auawa Detroit
Jaji nchini Marekani amemhukumu kifungo cha miaka kumi na saba jela,mwanaume kwa kosa la kumpiga risasi na kumuua mwanamke mweusi
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Maonyesho ya magari Detroit 2015
Maonyesho ya magari ya Detroit nchini Marekani, mwaka 2015,yamekuwa ya kwanza ya magari mwaka huu na nafasi ya kwanza kwa watengeza magari kuonyesha magari yao mapya ya mwaka huu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania