Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pistons yamtema Hasheem

Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Detroit Pistons huenda ikamchukua Hasheem Thabeet lakini..

Hasheem Thabeet anadaiwa kuwepo kwenye roaster ya mazoezi ya timu ya kikapu ya Detroit Pistons ambayo huenda ikamsaini kwa mkataba usiokuwa na ‘guarantee’. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa ESPN. Thabeet ameichezea Oklahoma City Thunder kwa misimu miwili kabla ya kuuzwa kwa Philadelphia 76ers ambao walimwacha huru. Hata hivyo sio rahisi kwa Thabeet kuanza kuichezea […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Oxfam yamtema Scarlet Johanneson

Kama balozi wake kwa kuunga mkono kampuni ya Israel inayoendesha shughuli zake katika eneo la walowezi katika Ukingo wa Magharibi

 

10 years ago

GPL

Yanga yamtema Kaseja Caf

Kipa wa Yanga Juma Kaseja. Na Mwandishi Wetu
YANGA imetuma majina 23 kwa ajili ya kikosi chao kitakachoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini imemtema kipa Juma Kaseja. Katika majina yaliyotumwa kwenye makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf), hakuna jina la Kaseja.
Caf imeipanga Yanga kuanza na BDF ya Botswana, ambayo ni timu inayomilikiwa na jeshi la ulinzi la nchi hiyo. Habari za uhakika kutoka Caf...

 

10 years ago

GPL

Yanga yamtema Kaseja rasmi, yamdai 400m

Kipa wa Yanga Juma Kaseja. Na Sweetbert Lukonge, Zanzibar
YANGA imetangaza rasmi kuachana na kipa Juma Kaseja lakini Championi Ijumaa linafahamu ukweli kuwa klabu hiyo imepanga kumfungulia mashitaka ya kumtaka alipe shilingi milioni 400, kutokana na kuvunja mkataba. Akitangaza kwa waandishi wa habari jana, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Jerry Muro alisema kuwa Kaseja ndiye aliyevunja mkataba na klabu hiyo...

 

10 years ago

GPL

HASHEEM THABEET AUZWA PHILADELPHIA 76ERS

STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda Philadelphia 76ers. Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna madai kuwa staa huyo huenda asikae sana katika timu hiyo na kwamba atauzwa hivi…

 

10 years ago

Bongo5

Hasheem Thabeet awaaga rasmi OKC kupitia Instagram

Pindi timu ya Oklahoma City Thunder imetangaza kuwa imemuuza Hasheem Thabeet kwa Philadelphia 76ers, timu hiyo ilimuacha aondoke mmoja wa wachezaji wake waliokuwa wakipendwa. Jumanne hii, Thabeet alitumia mtandao wa Instagram kutoa shukrani zake kwa timu hiyo. “I WANNA TAKE A SECOND TO THANK YOU OKC.. THE ENTIRE THUNDER ORGANIZATION AND THE FANS HAVE BEEN […]

 

10 years ago

Bongo5

Hasheem Thabeet atosa ofa za Ulaya, arudi kwenye D League

Timu ya Grand Rapids Drive imesajili wachezaji sita kwaajili ya ligi ya NBA-D League akiwemo  Hasheem Thabeet. D-League ni ligi iliyo chini ya NBA. Hivi karibuni Thabeet  ambaye alitemwa na Detroit Pistons alitosa ofa za kujiunga na timu za Ulaya. Hii ni mara ya pili kwa Thabeet kucheza kwenye D-League. Mkurugenzi mkuu wa Detroit Pistons, […]

 

10 years ago

Bongo5

Philadelphia 76ers wamnunua Hasheem Thabeet kutoka Oklahoma City Thunder, lakini..

Oklahoma City Thunder wamemuuza Hasheem Thabeet kwa timu ya Philadelphia 76ers. Vyanzo vinadai kuwa mabadilishano hayo yaliyofanyika Jumanne hii yataifanya Sixers kupata kile kiitwacho ‘cash considerations’ kuchukua mkataba wa Thabeet. Sixers, wanadaiwa kuwa watamwacha Thabeet mapema na Oklahoma City itaokoa kiasi cha dola milioni 1.25 kwa kumuuza Thabeet bila kuchukua mshahara wowote. Thabeet hatarajiwi kuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani