Yanga yamtema Kaseja rasmi, yamdai 400m

Kipa wa Yanga Juma Kaseja. Na Sweetbert Lukonge, Zanzibar YANGA imetangaza rasmi kuachana na kipa Juma Kaseja lakini Championi Ijumaa linafahamu ukweli kuwa klabu hiyo imepanga kumfungulia mashitaka ya kumtaka alipe shilingi milioni 400, kutokana na kuvunja mkataba. Akitangaza kwa waandishi wa habari jana, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Jerry Muro alisema kuwa Kaseja ndiye aliyevunja mkataba na klabu hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
Yanga yamtema Kaseja Caf
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Yanga yamdai Kaseja Sh200 mil
10 years ago
Vijimambo08 Jan
MECHI 15 LANGONI AKIWA YANGA NA KARUHUSU GOLI 10 YANGA YA SEMA NENDA KASEJA

YANGA SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango Juma Kaseja, iliyemsajili kwa Sh. Milioni 40 Novemba 8, mwaka juzi.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari leo katika hoteli ya Zanzibar Ocean View visiwani hapa kwamba, hatua hiyo imefikiwa baada ya mchezaji huyo kuanza kujiengua katika timu.“Tumefikia uamuzi wa kuachana na Kaseja, baada ya yeye mwenyewe kuanza kujiengua katika timu,”amesema MuroMwishoni mwa mwaka jana, Kaseja...
10 years ago
Mtanzania09 Jan
Kaseja atimuliwa Yanga
JUDITH PETER NA SAADA AKIDA
KLABU ya soka ya Yanga, imevunja mkataba wake na kipa, Juma Kaseja, kwa kushindwa kufuata kanuni na masharti yaliyowekwa na uongozi wa klabu hiyo, kuchelewa kuripoti kambini kwa saa 48 na kutohudhuria mazoezi.
Yanga ilitoa tahadhari kuwa mchezaji yeyote ambaye atashindwa kuripoti kambini ndani ya saa 48 na kukosa mazoezi bila ruhusa maalumu ya kocha, atakuwa amevunja mkataba wake na kujifukuzisha kazi.
Kaseja amekuwa mchezaji wa kwanza wa Yanga kukumbwa na adhabu...
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Yanga yawatema Kaseja, Tegete
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Yanga yamtupia virago Kaseja
10 years ago
TheCitizen25 Nov
SOCCER: Kaseja here to stay, say Yanga
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Kaseja: Yanga inapiga siasa
10 years ago
TheCitizen30 Nov
Kaseja skips Yanga training