Yanga yamtupia virago Kaseja
Hatimaye uongozi wa Yanga umetangaza rasmi kuachana na kipa wake Juma Kaseja wakisema kuanzia sasa ni mchezaji huru. Awali kipa huyo mkongwe aliamua kuipa kisogo timu hiyo akilalamikia kutolipwa sehemu ya fedha zake za usajili pamoja na bima ya afya yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Azam yamtupia virago Omog
9 years ago
Habarileo26 Aug
Simba yamtupia virago Niang, mwingine atua
UONGOZI wa Simba umeamua kuachana na mshambuliaji Papa Niang kutoka Senegal.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Ndanda yamtupia virago Kitambi, makocha presha juu
10 years ago
Vijimambo08 Jan
MECHI 15 LANGONI AKIWA YANGA NA KARUHUSU GOLI 10 YANGA YA SEMA NENDA KASEJA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-aPaGg6PG8Uo%2FVK63KAKkm_I%2FAAAAAAADVGg%2FKUDFaMpRG_s%2Fs1600%2FIMG_50362.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
YANGA SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango Juma Kaseja, iliyemsajili kwa Sh. Milioni 40 Novemba 8, mwaka juzi.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari leo katika hoteli ya Zanzibar Ocean View visiwani hapa kwamba, hatua hiyo imefikiwa baada ya mchezaji huyo kuanza kujiengua katika timu.“Tumefikia uamuzi wa kuachana na Kaseja, baada ya yeye mwenyewe kuanza kujiengua katika timu,”amesema MuroMwishoni mwa mwaka jana, Kaseja...
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Maximo rasmi atupiwa virago yanga
10 years ago
Mtanzania09 Jan
Kaseja atimuliwa Yanga
JUDITH PETER NA SAADA AKIDA
KLABU ya soka ya Yanga, imevunja mkataba wake na kipa, Juma Kaseja, kwa kushindwa kufuata kanuni na masharti yaliyowekwa na uongozi wa klabu hiyo, kuchelewa kuripoti kambini kwa saa 48 na kutohudhuria mazoezi.
Yanga ilitoa tahadhari kuwa mchezaji yeyote ambaye atashindwa kuripoti kambini ndani ya saa 48 na kukosa mazoezi bila ruhusa maalumu ya kocha, atakuwa amevunja mkataba wake na kujifukuzisha kazi.
Kaseja amekuwa mchezaji wa kwanza wa Yanga kukumbwa na adhabu...
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Yanga yawatema Kaseja, Tegete
10 years ago
TheCitizen30 Nov
Kaseja skips Yanga training
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcL*K5oiL-D7GQWMNBohUtLR1UqKJ9R*NsafJkNvXi1xu7uHsPzGxzVFpCZTbRO9UdoZVataFtHfpa9nvr*StwQU/5.jpg?width=650)
Manji amuokoa Kaseja Yanga