Yanga yawatema Kaseja, Tegete
Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amemwengua, kipa Juma Kaseja na mshambuliaji Jerryson Tegete katika kikosi chake cha wachezaji 19 kinachoondoka nchini leo kuelekea Comoro kuikabili Komorozine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Tegete astaafu soka, Kaseja anayenitaka aje nipo
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Jerryson Tegete ameamua kupumzika kucheza soka msimu ujao, wakati kipa Juma Kaseja akisema yuko tayari kucheza timu yoyote inayomhitaji.
10 years ago
Vijimambo08 Jan
MECHI 15 LANGONI AKIWA YANGA NA KARUHUSU GOLI 10 YANGA YA SEMA NENDA KASEJA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-aPaGg6PG8Uo%2FVK63KAKkm_I%2FAAAAAAADVGg%2FKUDFaMpRG_s%2Fs1600%2FIMG_50362.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
YANGA SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango Juma Kaseja, iliyemsajili kwa Sh. Milioni 40 Novemba 8, mwaka juzi.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari leo katika hoteli ya Zanzibar Ocean View visiwani hapa kwamba, hatua hiyo imefikiwa baada ya mchezaji huyo kuanza kujiengua katika timu.“Tumefikia uamuzi wa kuachana na Kaseja, baada ya yeye mwenyewe kuanza kujiengua katika timu,”amesema MuroMwishoni mwa mwaka jana, Kaseja...
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Tegete, Yanga watishana
Polisi na wadau wengine wa soka mjini Shinyanga juzi waliepusha shari baina ya mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Jerry Tegete na shabiki wa klabu hiyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMPBqpXROcsliRT1WWkbWu7ZoNuZ5Zmwb*0o60jppgcTt-BAHfN1XEt8hByleyZpDUvIj48rrYijeRS28Zgeekx5/tgt.jpg)
Mzee Tegete aivaa Yanga
Straika wa Yanga, Jerry Tegete. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya straika wa Yanga, Jerry Tegete kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi ugenini tangu kuanza kwa michuano ya Ligi Kuu Bara msimu huu ilipocheza dhidi ya Stand United ya Shinyanga, baba mzazi wa mchezaji huyo, Mzee John Tegete, ameuvaa uongozi wa klabu hiyo na kuutaka uache majungu. Tegete aliifungia Yanga mabao mawili ilipoitandika Stand United mabao 3-0,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EWMw8iXl*iV1qS3pYI5To6wSGGqSuSR7diHOxJyg7fMFNUEpHrFJjvu1APwmgEWvaFkyQBBTc5SFVAOzCYOyfAxNnCL422t5/oiooo.jpg)
Tegete, Mrwanda watemwa Yanga
Mkongwe wa Yanga, Jerry Tegete. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BENCHI la ufundi la Yanga chini ya Mdachi, Hans van Der Pluijm, limedaiwa kufanya maamuzi magumu ambayo kwa namna moja au nyingine, yatawashangaza wadau wengi wa klabu hiyo. Imedaiwa kuwa kocha huyo ambaye ameiongoza Yanga msimu huu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, amependekeza wachezaji saba kuondolewa kutokana na mchango yao finyu msimu mzima, akiwemo mchezaji...
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Julio: Tegete ifunge Yanga
Kocha wa Mwadui, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema mshambuliaji wake Jerryson Tegete amekuwa ‘mtaam kama Mcharo’ lakini amemtaka kuthibitisha ubora wake kwa kuifunga timu yake ya zamani, Yanga watakayokutana nayo Jumatano ijayo.
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Kocha Yanga ajitetea kwa Tegete
Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amejitetea kwa uamuzi wake wa kumtoa mshambuliaji Jeryson Tegete na kumwingiza Hussein Javu wakati wa mechi dhidi ya Prisons.
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Tegete: Subirini, ndiyo kwanza nimeanza kazi Yanga
Kazi imeanza kwa mshambuliaji Jerryson Tegete ambaye baada ya kuitungua Stand United ya hapa kwa mabao mawili, Jumamosi ameeleza kuwa hakuna kulala.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jk1qJfh5Fa7d3SL1nhVtI8StGpwc84T3JByjfcjy-In3x6-Wr*v9UrukmMz2z21QnXViNzOaRqpXAukRv3AVzrOQqTgADeVL/coutinyo.jpg)
COUTINHO, TEGETE WAIPA PRESHA YANGA IKIIVAA AZAM
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho. Na Wilbert Molandi DAKTARI wa Klabu ya Yanga, Juma Sufiani, ametamka kuwa hatma ya kiungo wao mshambuliaji, Andrey Coutinho kuwavaa wapinzani wao, Azam FC, inatarajiwa kujulikana leo Ijumaa jioni. Timu hizo zinatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi ya Ngao ya Jamii, keshokutwa Jumapili, ambapo kiungo huyo raia wa Brazil ni majeruhi kama ilivyo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania