Mzee Tegete aivaa Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMPBqpXROcsliRT1WWkbWu7ZoNuZ5Zmwb*0o60jppgcTt-BAHfN1XEt8hByleyZpDUvIj48rrYijeRS28Zgeekx5/tgt.jpg)
Straika wa Yanga, Jerry Tegete. Na Sweetbert Lukonge SIKU chache baada ya straika wa Yanga, Jerry Tegete kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi ugenini tangu kuanza kwa michuano ya Ligi Kuu Bara msimu huu ilipocheza dhidi ya Stand United ya Shinyanga, baba mzazi wa mchezaji huyo, Mzee John Tegete, ameuvaa uongozi wa klabu hiyo na kuutaka uache majungu. Tegete aliifungia Yanga mabao mawili ilipoitandika Stand United mabao 3-0,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Tegete, Yanga watishana
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Julio: Tegete ifunge Yanga
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Yanga yawatema Kaseja, Tegete
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EWMw8iXl*iV1qS3pYI5To6wSGGqSuSR7diHOxJyg7fMFNUEpHrFJjvu1APwmgEWvaFkyQBBTc5SFVAOzCYOyfAxNnCL422t5/oiooo.jpg)
Tegete, Mrwanda watemwa Yanga
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Kocha Yanga ajitetea kwa Tegete
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Tegete: Subirini, ndiyo kwanza nimeanza kazi Yanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jk1qJfh5Fa7d3SL1nhVtI8StGpwc84T3JByjfcjy-In3x6-Wr*v9UrukmMz2z21QnXViNzOaRqpXAukRv3AVzrOQqTgADeVL/coutinyo.jpg)
COUTINHO, TEGETE WAIPA PRESHA YANGA IKIIVAA AZAM