Jela yamuita tena Chris Brown
Chris Brown ameibua msala mpya ambao unaweza kumletea hatari kubwa ya kumpeleka jela.
Muimbaji huyo Jumatatu hii alihudhuria katika klabu ya usiku ya Aja Channelside iliyopo mjini Florida lakini alijikuta akiibua jambo jipya baada ya kumpiga ngumi mpiga picha mmoja aliyefahamika kama Bennie Vines aliyekuwa akipiga picha ukumbini hapo.
Imedaiwa kuwa wakati Chris alipokuwa katika klabu hiyo wainzi wake waliwakataza wapiga picha wote kumpiga picha msanii huyo huku uongozi wa klabu hiyo ya Aja...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 May
Chris Brown aongezwa muda jela
9 years ago
Bongo504 Jan
Chris Brown aukwaa msala mwingine tena

Chris Brown ni mtuhumiwa wa kumpiga na kumjeruhi mtu pamoja na wizi uliotokea Jumamosi iliyopita kwenye kiota cha Palms Casino Resort, jijini Las Vegas.
Polisi wanadaiwa kuitwa hapo asubuhi na walimkuta mwanamke aliyekuwa na majereha mwilini mwake kufuatia kupigwa.
Kwa mujibu wa The Hollywood Reporter, mwanamke huyo anadai kupigwa na Chris Brown baada ya kuchukua simu yake kupiga naye picha. Anadai kuwa muimbaji huyo alichukua simu yake.
Mwakilishi wa Brown alidai kuwa tuhuma hizo si za...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Matatu ya kujua kutoka kwa Chris Brown >>> Radio na Muziki, kuitwa superstaa + Maisha ya jela!
Staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown anashikilia headlines za burudani na album yake mpya, ROYALTY. Nimekutana na interview aliyofanya Chris siku chache zilizopita na humo ndani amegusia vitu vingi ikiwemo mchango wa station za radio kwenye muziki wake, mtazamo wake wa kuwa na kuitwa superstaa na maisha aliyoishi akiwa jela. Haya ndio […]
The post Matatu ya kujua kutoka kwa Chris Brown >>> Radio na Muziki, kuitwa superstaa + Maisha ya jela! appeared first on...
10 years ago
Bongo529 Sep
Picha: Memphis Depay aonekana tena na Ex wa Chris Brown, Karrueche Tran
11 years ago
Bongo502 Aug
Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!
10 years ago
Bongo507 Dec
Chris Brown aachana tena na Karrueche Tran, atangaza jukwaani kuwa yupo single (Video)