Chris Brown aukwaa msala mwingine tena
Chris Brown ni mtuhumiwa wa kumpiga na kumjeruhi mtu pamoja na wizi uliotokea Jumamosi iliyopita kwenye kiota cha Palms Casino Resort, jijini Las Vegas.
Polisi wanadaiwa kuitwa hapo asubuhi na walimkuta mwanamke aliyekuwa na majereha mwilini mwake kufuatia kupigwa.
Kwa mujibu wa The Hollywood Reporter, mwanamke huyo anadai kupigwa na Chris Brown baada ya kuchukua simu yake kupiga naye picha. Anadai kuwa muimbaji huyo alichukua simu yake.
Mwakilishi wa Brown alidai kuwa tuhuma hizo si za...
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo514 Feb
Jela yamuita tena Chris Brown
Chris Brown ameibua msala mpya ambao unaweza kumletea hatari kubwa ya kumpeleka jela.
Muimbaji huyo Jumatatu hii alihudhuria katika klabu ya usiku ya Aja Channelside iliyopo mjini Florida lakini alijikuta akiibua jambo jipya baada ya kumpiga ngumi mpiga picha mmoja aliyefahamika kama Bennie Vines aliyekuwa akipiga picha ukumbini hapo.
Imedaiwa kuwa wakati Chris alipokuwa katika klabu hiyo wainzi wake waliwakataza wapiga picha wote kumpiga picha msanii huyo huku uongozi wa klabu hiyo ya Aja...
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Chris Brown kaja na mzigo mwingine, dakika zako tatu kuupitia hapa.. -‘Back to Sleep’ (+Video)
Zikiwa zimebaki siku chache kufikia uzinduzi wa album yake mpya, Royalty staa wa muziki wa R&B, Chris Brown amerudi kwa mara nyingine wiki hii na ujio wa mzigo wa latest single yake ‘Back to sleep’. Official countdown kuelekea uzinduzi wa album ya saba ya Chris imeanza rasmi huku tukihesabu siku 4 kufikia tarehe 18 December 2015, […]
The post Chris Brown kaja na mzigo mwingine, dakika zako tatu kuupitia hapa.. -‘Back to Sleep’ (+Video) appeared first on...
9 years ago
Bongo529 Sep
Picha: Memphis Depay aonekana tena na Ex wa Chris Brown, Karrueche Tran
11 years ago
Bongo502 Aug
Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!
10 years ago
Bongo507 Dec
Chris Brown aachana tena na Karrueche Tran, atangaza jukwaani kuwa yupo single (Video)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc6ry6pcKHXg3wFhmrXDTR2nYam7Pnt8vBAyy5KZTceS-XzrMyiVDAygXNUXJEABOAWhC1Twl*LgIlDh*YxQDBfr/1.jpg?width=650)
TID JELA YAMUITA BAADA YA KUHUSISHWA NA MSALA MWINGINE
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Chris Brown sasa ni Royalty Brown rasmi
10 years ago
Bongo Movies27 Apr
Wema Azidi Kung’ara, Aukwaa Ubalozi Tena
Mrembo wa Tanzania, muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano ya kuwa Balozi wa Hospital ya Kimataifa ya macho Iliyopo Ali hassan mwinyi Road katika jengo la Tropical House.....
Mkataba huu ni wa mwaka mmoja.. Wema amehaidi kuwa balozi wa hospitali hiyo iliyokuja na mitambo mpya ambayo itawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35 wanaotumia miwani kuacha kabisa utumiaji wa miwani kwakuwa wanauwezo wa kuondoa swala la uvaaji miwani kwa vijana.
By Martin Kadinda, Meneja wa...
9 years ago
Bongo518 Sep
Video: Chris Brown — Zero