TID JELA YAMUITA BAADA YA KUHUSISHWA NA MSALA MWINGINE
![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc6ry6pcKHXg3wFhmrXDTR2nYam7Pnt8vBAyy5KZTceS-XzrMyiVDAygXNUXJEABOAWhC1Twl*LgIlDh*YxQDBfr/1.jpg?width=650)
ISSA MNALLY/Amani11 HAJAKOMA? Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chumvini, Khaleed Mohamed ‘TID’ amehusishwa na msala mwingine baada ya kudaiwa ku kumjeruhi James Richard, mkazi wa Jiji la Dar. Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chumvini, Khaleed Mohamed ‘TID’. Endapo itathibitika kama ni kweli ametenda kosa hilo, TID atakuwa yupo katika hatari ya kuswekwa gerezani kwa mara ya pili...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Jan
Chris Brown aukwaa msala mwingine tena
![Chris-Brown-PNG](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/08/Chris-Brown-PNG-300x194.png)
Chris Brown ni mtuhumiwa wa kumpiga na kumjeruhi mtu pamoja na wizi uliotokea Jumamosi iliyopita kwenye kiota cha Palms Casino Resort, jijini Las Vegas.
Polisi wanadaiwa kuitwa hapo asubuhi na walimkuta mwanamke aliyekuwa na majereha mwilini mwake kufuatia kupigwa.
Kwa mujibu wa The Hollywood Reporter, mwanamke huyo anadai kupigwa na Chris Brown baada ya kuchukua simu yake kupiga naye picha. Anadai kuwa muimbaji huyo alichukua simu yake.
Mwakilishi wa Brown alidai kuwa tuhuma hizo si za...
5 years ago
Bongo514 Feb
Jela yamuita tena Chris Brown
Chris Brown ameibua msala mpya ambao unaweza kumletea hatari kubwa ya kumpeleka jela.
Muimbaji huyo Jumatatu hii alihudhuria katika klabu ya usiku ya Aja Channelside iliyopo mjini Florida lakini alijikuta akiibua jambo jipya baada ya kumpiga ngumi mpiga picha mmoja aliyefahamika kama Bennie Vines aliyekuwa akipiga picha ukumbini hapo.
Imedaiwa kuwa wakati Chris alipokuwa katika klabu hiyo wainzi wake waliwakataza wapiga picha wote kumpiga picha msanii huyo huku uongozi wa klabu hiyo ya Aja...
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta
Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka.
Akijibu shutuma hizo, Rose Ndauka alijibu haya alipoulizwa na Soudy Brown wa Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.
“Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli...
10 years ago
Bongo511 Oct
TID achukizwa na kukanusha taarifa ya mtandao wa Kenya kuwa alidhalilishwa kimapenzi akiwa jela
11 years ago
CloudsFM29 May
BAADA YA KUWA KWENYE ‘GAME’ KWA MIAKA 15,DULLY SYKES AKUMBUKA ALIVYOMFUNIKA TID MWAKA 2002
Jana kupitia xxl clouds fm msanii wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes alisema kuwa ameitumikia tasnia hiyo kwa miaka 15 mpaka sasa, alifunguka kuwa moja kati ya vitu anavyovikumbuka ndani ya miaka 15 ni siku aliyomfunika msanii mwenzake katika tasnia hiyo TID kwenye shoo waliyoshindanishwa mwaka 2002 ilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam.
Jana hiyo hiyo Mzee Mnyama akajibu mapigo, sasa baada ya hapo Dully naye akataka kuweka mambo sawa.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtmxWKXGxK8/VWV44xrGEqI/AAAAAAAHaDk/2WOKLo1tXeY/s72-c/index.jpg)
MAKALA YA SHERIA; NI KOSA ASKARI KUONDOKA NA MTU MWINGINE BAADA YA KUMKOSA MTUHUMIWA NYUMBANI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZtmxWKXGxK8/VWV44xrGEqI/AAAAAAAHaDk/2WOKLo1tXeY/s320/index.jpg)
Malalamiko ya raia dhidi ya jeshi la polisi hayataishi kama polisi wenyewe hawatajirekebisha. Na ieleweke kuwa si kweli kwamba wanaolalamika ni wajinga au hawana sababu za msingi. Mara zote ukiangalia malalamiko ya raia huwa ni ya msingi na mzizi wake ni mmoja tu. Ni utamaduni wa askari wetu kutopenda kutenda hatua kwa hatua kama sheria inavyoagiza. Sheria imetoa maelezo mazuri tu ya namna ya kuyaendea mambo....
11 years ago
Mwananchi22 May
Mwandishi jela baada ya aliyemdhamini kutoroka
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Wakamatwa baada ya Guzman kutoroka jela
11 years ago
GPLSIMANZI ZAENDELEA KUTAWALA NDANI YA NYUMBA YA TMT BAADA YA MSHIRIKI MWINGINE KUAGA SHINDANO