TID achukizwa na kukanusha taarifa ya mtandao wa Kenya kuwa alidhalilishwa kimapenzi akiwa jela
Msanii mkongwe wa muziki nchini Khalid Mohamed aka TID amefunguka na kuelezea kuchukizwa kwake baada ya kuandikwa vibaya ya mtandao wa Kenya uitwao Mpasho kuwa alitendewa matendo machafu akiwa gerezani miaka kadhaa iliyopita. Akizungumza na Bongo5 leo, TID amesema habari hiyo si ya kweli na imemdhalilisha. “Mimi sijawahi hata siku moja kudhalilishwa jela wala kufanyiwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi06 Jan
TAARIFA YA KUKANUSHA UUZWAJI HISA TANESCO
Taarifa hiyo siyo sahihi.
9 years ago
Michuzi29 Aug
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc6ry6pcKHXg3wFhmrXDTR2nYam7Pnt8vBAyy5KZTceS-XzrMyiVDAygXNUXJEABOAWhC1Twl*LgIlDh*YxQDBfr/1.jpg?width=650)
TID JELA YAMUITA BAADA YA KUHUSISHWA NA MSALA MWINGINE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscYVyMcdRjV8OvyL0ZLWODd81pBrIqufWsDbziPT7KBt6UZYlLVqdtFhq*k8rKTrBj8AV3Wnm9rIz2dq1xH3otOV/NewPicture.png?width=300)
TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA UVUMI WA KUAJIRI VIJANA 500
10 years ago
VijimamboKUKANUSHA TAARIFA ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA JAMHURI KUHUSIANA NA ZIARA YA WAZIRI LAZARO NYALANDU NCHINI MAREKANI
Habari hii ni uongo ulioandikwa kichochezi na...
9 years ago
Bongo507 Dec
Quick Rocka athibitisha kuwa na uhusiano na Kajala baada ya kukanusha kwa muda mrefu
![Kajala na Quick2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Kajala-na-Quick2-300x194.jpg)
Msanii wa Bongo fleva, Quick Rocka na muigizaji wa Bongo movie, Kajala Masanja hawakuwahi kuthibitisha wenyewe hadharani kuwa wana uhusiano wa kimapenzi licha ya kuwepo na tetesi kuwa ni wapenzi.
Quick amejikuta akilazimika kukiri hadharani juu ya uhusiano wao alipokuwa akikanusha taarifa kuwa wameachana.
Akizungumzia sababu za kuamua kutoyaweka wazi maisha ya uhusiano wao, Quick amesema;
“Sometimes some things have to stay private maana mahusiano yanapokuwa public sana ndio maneno...
9 years ago
Bongo504 Nov
No Stress: Nipo vizuri sina tatizo la uzazi — asema Linah na kukanusha kuwa sio mjamzito
![Linah](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Linah-300x194.jpg)
Linah Sanga amekanusha uvumi kuwa ana ujauzito na kuweka taarifa sawa kuhusu afya yake ya uzazi.
Mwimbaji huyo wa ‘No Stress’ amesema kuwa kwasasa anajipanga ndio maana hajaamua kupata mtoto lakini hiyo haimaanishi kuwa ana matatizo yoyote ya uzazi kama baadhi ya watu wanavyohisi.
“Mimi nipo vizuri bhanaa sina tatizo la uzazi ila huwa najipanga ndio maana watu hawajahi kuniona nina ujauzito, lakini kwa sasa najiachia sanaa hivyo muda wowote wanaweza kusikia jambo,” alisema Linah kupitia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1ULzpAvZYKo/Xr9xyh6fmzI/AAAAAAALqas/u0RRHpM7JAI5cJQruxeGrFrJ1asON_aBwCLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%25282%2529.jpg)
Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...
10 years ago
Bongo522 Sep
Johari adai hajawai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ray