Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi jela baada ya aliyemdhamini kutoroka

Mwandishi wa habari wa siku nyingi, Peter Temba amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela baada ya kushindwa kumpeleka mahakamani mshtakiwa aliyemdhamini katika kesi ya kutorosha twiga kwenda Uarabuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wakamatwa baada ya Guzman kutoroka jela

Mexico imewakamata watu 13 ambao wamehusishwa na kutoroka jela kwa mlanguzi mkubwa wa madawa ya kulevya Joachim Guzman

 

9 years ago

BBCSwahili

Afutwa kazi baada ya wafungwa kutoroka

Mkuu wa huduma ya magereza katika mji Buenos Aires Argentina amefutwa kazi baada ya wafungwa watatu mashuhuri kutoroka kutoka gereza lenye ulinzi mkali siku ya Jumapili.

 

5 years ago

Michuzi

Hofu yatanda baada ya mshukiwa wa Corona kutoroka karantini Zimbabwe

Hali ya taharuki imetanda nchini Zimbabwe baada ya mtu anayeshukiwa kuwa na virusi vya Corona kutoroka hospitalini alikokuwa amewekwa karantini na kwenda kusikojulikana.

Gazeti la serikali la Herald limeripoti kuwa, mshukiwa huyo wa Corona alikuwa ametengwa katika chumba maalumu akisubiri kufanyiwa vipimo katika Hospitali ya Magonjwa ya Kuambukiza ya Wilkins katika mji mkuu Harare kabla ya kukimbia.

Vyombo vya dola nchini humo vimesema vimeanzisha msako mkali wa kumtafuta raia huyo wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Mwandishi atakayepotosha jela miaka mitatu

agNa Fredy Azzah, Dodoma

BUNGE limetuma salamu kwa vyombo vya habari na waandishi wa habari kwa kupitisha Muswada wa Takwimu wa Mwaka 2013, ambao pamoja na mambo mengine unataka mwandishi atakayefanya makosa kwenye kuripoti taarifa za takwimu kufungwa jela miaka mitatu ama kutozwa faini ya Sh milioni 10.

Muswada huo umepitisha wakati ambapo, Machi 31, mwaka huu Serikali inatarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya Kupata Habari wa Mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa Mwaka 2015, yote kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri yamhukumu mwandishi miaka 5 jela

Mahakama mjini Cairo Misri imemhukumu mwandishi wa blogu kifungo cha miaka 5 jela kwa kukiuka sheria za undamanaji

 

5 years ago

Michuzi

Mwandishi wa habari ahukumiwa jela mwaka mmoja au faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutoa maudhui kwenye mtandao wa youtube bila leseni




Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo Cha Mwaka mmoja jela Mwandishi wa habari Prosper Mfugale baada ya mwandishi huyo kukiri kutoa maudhui Katika Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), hata hivyo Mfugale amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.

Mfugale alikamatwa mnamo Februari 29 Mwaka huu na kushikiliwa kwa siku nne kituo cha polisi Njombe na tarehe 4 Machi alifunguliwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Prof Lipumba ndani ya Rwanda kigali sikiliza mahojiano haya kifupi anasema baada ya kuulizwa swali na mwandishi



Swali: Prof kujiuzuru kwako uenyekiti CUF kunahusishwa na wewe kutumika na CCM kuisambaratisha UKAWA,je ni kweli?majibu kifupi toka kwa Prof Lipumba."...kwanza sijakimbia nyumbani ila nitarudi baada ya wiki moja nipo hapa Kigali nafanya uchunguzi je nijinsi gani Tanzaia inaweza kujifunza toka na maendeleo wanayo yapata Rwanda...
Siwezi kutumika na CCM ila mimi na Dk Slaa na Mbatia tulikutana nyumbani kwangu na kukubaliana kuwa Dk Slaa ndio awe Mgombea urais wa Ukawa
sasa chakushangaza safari...

 

10 years ago

GPL

TID JELA YAMUITA BAADA YA KUHUSISHWA NA MSALA MWINGINE

ISSA MNALLY/Amani11
HAJAKOMA? Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chumvini, Khaleed Mohamed ‘TID’ amehusishwa na msala mwingine baada ya kudaiwa ku kumjeruhi James Richard, mkazi wa Jiji la Dar. Staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chumvini, Khaleed Mohamed ‘TID’. Endapo itathibitika kama ni kweli ametenda kosa hilo, TID atakuwa yupo katika hatari ya kuswekwa gerezani kwa mara ya pili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani