Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afutwa kazi baada ya wafungwa kutoroka

Mkuu wa huduma ya magereza katika mji Buenos Aires Argentina amefutwa kazi baada ya wafungwa watatu mashuhuri kutoroka kutoka gereza lenye ulinzi mkali siku ya Jumapili.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wakamatwa baada ya Guzman kutoroka jela

Mexico imewakamata watu 13 ambao wamehusishwa na kutoroka jela kwa mlanguzi mkubwa wa madawa ya kulevya Joachim Guzman

 

11 years ago

Mwananchi

Mwandishi jela baada ya aliyemdhamini kutoroka

Mwandishi wa habari wa siku nyingi, Peter Temba amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela baada ya kushindwa kumpeleka mahakamani mshtakiwa aliyemdhamini katika kesi ya kutorosha twiga kwenda Uarabuni.

 

5 years ago

Michuzi

Hofu yatanda baada ya mshukiwa wa Corona kutoroka karantini Zimbabwe

Hali ya taharuki imetanda nchini Zimbabwe baada ya mtu anayeshukiwa kuwa na virusi vya Corona kutoroka hospitalini alikokuwa amewekwa karantini na kwenda kusikojulikana.

Gazeti la serikali la Herald limeripoti kuwa, mshukiwa huyo wa Corona alikuwa ametengwa katika chumba maalumu akisubiri kufanyiwa vipimo katika Hospitali ya Magonjwa ya Kuambukiza ya Wilkins katika mji mkuu Harare kabla ya kukimbia.

Vyombo vya dola nchini humo vimesema vimeanzisha msako mkali wa kumtafuta raia huyo wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Cameroon afutwa kazi

Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Cameroon Volke Finke amefutwa kazi baada ya taifa hilo kuandikisha msururu wa matokeo mabaya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Cardiff afutwa Kazi

Baada ya klabu hiyo kunykwa magoli matatu kwa yai na Southampton

 

11 years ago

BBCSwahili

Laudrup afutwa kazi na Swansea

Uvumi wasambaa kuhusu hatma ya Laudrup baada ya Swansea kushindwa 2-0 na West Ham .

 

10 years ago

BBCSwahili

Miguel Herrera afutwa kazi

Kocha kutoka Mexico, Miguel Herrera amefukuzwa kazi baada ya kumshambulia mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha luninga.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jose Mourinho afutwa kazi Chelsea

Meneja wa klabu ya Chelsea ya Uingereza amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kuandikisha msururu wa matokeo mabaya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Anna Tibaijuka afutwa kazi hadharani

Kashfa ya uchotwaji wa fedha za akaunti ya Escrow imemwondoa kigogo wa pili nchini Tanzania na Rais Kikwete kutangaza kwamba atateua mtu mwingine kuchukua nafasi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani