MAKALA YA SHERIA; NI KOSA ASKARI KUONDOKA NA MTU MWINGINE BAADA YA KUMKOSA MTUHUMIWA NYUMBANI.

Na Bashir Yakub.
Malalamiko ya raia dhidi ya jeshi la polisi hayataishi kama polisi wenyewe hawatajirekebisha. Na ieleweke kuwa si kweli kwamba wanaolalamika ni wajinga au hawana sababu za msingi. Mara zote ukiangalia malalamiko ya raia huwa ni ya msingi na mzizi wake ni mmoja tu. Ni utamaduni wa askari wetu kutopenda kutenda hatua kwa hatua kama sheria inavyoagiza. Sheria imetoa maelezo mazuri tu ya namna ya kuyaendea mambo....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA SHERIA INAKURUHUSU RAIA KUKATAA KUKAMATWA NA ASKARI TARATIBU ZINAPOKIUKWA ?

Sio siri askari wamekuwa wakitumia nguvu na ubabe mno katika kuwakamata raia. Hata pale pasipo na haja yoyote ya kutumia nguvu bado wao wamekuwa wakilazimisha...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: KUTOTOA MATUNZO YA MTOTO NI KOSA LA JINAI, HII NI NAMNA YA KUCHUKUA HATUA

Kumekuwa na shida sana hasa kwa upande wa wanaume kuwatelekeza watoto. Mara nyingi wanaume ndio hutelekeza watoto kuliko wanawake. Zipo baadhi ya kesi zimeripotiwa zikihusisha wanawake kuwatelekeza watoto lakini hizi si nyingi kama ilivyo kwa wanaume. Hii ni kwasababu uwezekano wa mwanaume kumkimbia mtoto ni mwepesi kuliko mwanamke kumkimbia mtoto/watoto. Jambo hili ni baya na limeshakemewa na sheria mbalimbali. Nataka...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: KUMSHITAKI ASKARI ALIYEKUBAMBIKIZA KESI

Kumbambikiza mtu kesi ni kosa. Si tu ni kosa bali pia ni kinyume kabisa cha haki za binadamu na ustaarab wa dunia. Inawezekanaje mtu akashtakiwa kwa kosa ambalo si tu hakulitenda bali pia halijui kabisa. Ni matendo yanayofanywa na watu makatili na mabazazi. Niseme tu mapema kuwa kosa hili haliwahusu tu askari isipokuwa kila mtu ambaye anaweza kumshtaki mwingine kwa kosa ambalo anajua kabisa halikutendeka au...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUWASHITAK ASKARI WANAOWABAMBIKIZA KESI RAIA

Hapa kwetu Tanzania habari ya kubambakiziana kesi ni kama mtindo. Mara nyingi matendo haya yamekuwa yakifanywa na watu wenye uwezo kifedha dhidi ya wasio na fedha pia kati ya maofisa wa polisi na raia. Mtu kwasababu ana pesa au cheo anaweza kuamua kumfungulia yeyote mashtaka. Watu wengi wako magerezani kwa kubambikizwa kesi, hili wala sio siri tena. Siseme walio mahabusu, hao nao hawana idadi. Inasikitisha mno. Ni wazi kuwa wengi wao wamefikia huko aidha kwa...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA:USIKAMATWE NA ASKARI KWA AMRI YA MAHAKAMA BILA KUONESHWA HATI HII.

Kifungu cha 112 ( 1 ) na ( 2 ) cha Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Jinai kinaeleza kwa urefu kuhusu hati ya kumkamata raia ( warrant of arrest ) ambayo hutolewa na mahakama. Kifungu hiki kimeeleza namna hati hii inavyopaswa kuwa na maudhui yanayopaswa kuwa ndani ya hati hiyo.
Lengo ni kumfanya raia ajue anakamatwa na nani , kwanini na anapelekwa wapi. Ni hati ambayo imebeba taarifa zinazolenga kusimamia na kulinda haki za ...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA MAMA WA NYUMBANI ANASTAHILI MGAO WA MALI NDOA INAPOVUNJIKA

Ndoa inapovunjika kuna kuna mambo makuu matatu ambayo hutokea yakiwa kama matokeo ya ndoa hiyo kuvunjika. Kwanza ni kugawana mali walizochuma wanandoa , pili hifadhi ya watoto na tatu matunzo ya watoto. Haya ni matokeo ya kuvunjika kwa ndoa, mengine zaidi kuhusu kuvunjika kwa ndoa tutayaona hapa wakati nikieleza mgawanyo wa mali za wanandoa.
1.MALI ZIPI HUTAKIWA HUGAWANYWA NDOA INAPOVUNJIKA.
Ndoa inapotangazwa kuvunjika mali ambazo hupaswa kugawanywa...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: HAIRUHUSIWI SERIKALI YA MTAA KUGEUZA ARDHI YA MTU NJIA BILA KUMLIPA FIDIA

Kuna malalamiko katika baadhi ya maeneo na zaidi malalamiko haya yamekuwa yakielekezwa kwa mamlaka za serikali za mitaa. Nimewahi kuandika kuhusu ukiukaji wa taratibu mbalimbali ambao hufanywa na serikali za mitaa katika maeneo au ardhi za watu. Pia niliandika kuhusu upotoshi wa mamlaka za serikali za mitaa katika kuwaandalia watu mikataba ya mauzo ya ardhi wakati wakijua kuwa hawaruhusiwi kufanya hivyo jambo...
9 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: JE KULEWA, KUTOKUWA NA AKILI TIMAMU NI KINGA BAADA YA KUTENDA JINAI

Wote tunajua kuwa kila atendaye kosa sharti aadhibiwe. Na kuadhibiwa huko lazima kuwe kwa mujibu wa sheria. Pamoja na kuwa mtenda kosa hustahili adhabu bado watenda kosa hutofautiana hadhi. Hadhi hapa sio kuwa fulani ni mkuu wa mkoa au mkurugenzi na fulani ni mkulima wa kawaida kijijini Katanakya.
Hadhi ndio kama hizo zilizotajwa katika kichwa cha makala. Wapo watenda makosa lakini wakiwa na umri mdogo, wapo...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA MATUNZO KWA MWANAMKE HUENDELEA KUTOLEWA HATA BAADA YA KUTENGANA NAYE
