MAKALA YA SHERIA: KUMSHITAKI ASKARI ALIYEKUBAMBIKIZA KESI

Na Bashir Yakub
Kumbambikiza mtu kesi ni kosa. Si tu ni kosa bali pia ni kinyume kabisa cha haki za binadamu na ustaarab wa dunia. Inawezekanaje mtu akashtakiwa kwa kosa ambalo si tu hakulitenda bali pia halijui kabisa. Ni matendo yanayofanywa na watu makatili na mabazazi. Niseme tu mapema kuwa kosa hili haliwahusu tu askari isipokuwa kila mtu ambaye anaweza kumshtaki mwingine kwa kosa ambalo anajua kabisa halikutendeka au...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUWASHITAK ASKARI WANAOWABAMBIKIZA KESI RAIA

Hapa kwetu Tanzania habari ya kubambakiziana kesi ni kama mtindo. Mara nyingi matendo haya yamekuwa yakifanywa na watu wenye uwezo kifedha dhidi ya wasio na fedha pia kati ya maofisa wa polisi na raia. Mtu kwasababu ana pesa au cheo anaweza kuamua kumfungulia yeyote mashtaka. Watu wengi wako magerezani kwa kubambikizwa kesi, hili wala sio siri tena. Siseme walio mahabusu, hao nao hawana idadi. Inasikitisha mno. Ni wazi kuwa wengi wao wamefikia huko aidha kwa...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA SHERIA INAKURUHUSU RAIA KUKATAA KUKAMATWA NA ASKARI TARATIBU ZINAPOKIUKWA ?

Sio siri askari wamekuwa wakitumia nguvu na ubabe mno katika kuwakamata raia. Hata pale pasipo na haja yoyote ya kutumia nguvu bado wao wamekuwa wakilazimisha...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA; NI KOSA ASKARI KUONDOKA NA MTU MWINGINE BAADA YA KUMKOSA MTUHUMIWA NYUMBANI.

Malalamiko ya raia dhidi ya jeshi la polisi hayataishi kama polisi wenyewe hawatajirekebisha. Na ieleweke kuwa si kweli kwamba wanaolalamika ni wajinga au hawana sababu za msingi. Mara zote ukiangalia malalamiko ya raia huwa ni ya msingi na mzizi wake ni mmoja tu. Ni utamaduni wa askari wetu kutopenda kutenda hatua kwa hatua kama sheria inavyoagiza. Sheria imetoa maelezo mazuri tu ya namna ya kuyaendea mambo....
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA:USIKAMATWE NA ASKARI KWA AMRI YA MAHAKAMA BILA KUONESHWA HATI HII.

Kifungu cha 112 ( 1 ) na ( 2 ) cha Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Jinai kinaeleza kwa urefu kuhusu hati ya kumkamata raia ( warrant of arrest ) ambayo hutolewa na mahakama. Kifungu hiki kimeeleza namna hati hii inavyopaswa kuwa na maudhui yanayopaswa kuwa ndani ya hati hiyo.
Lengo ni kumfanya raia ajue anakamatwa na nani , kwanini na anapelekwa wapi. Ni hati ambayo imebeba taarifa zinazolenga kusimamia na kulinda haki za ...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUKATA RUFAA KESI ZA ARDHI

Rufaa ni hatua ya kisheria ambayo hufikiwa na mhusika katika shauri fulani iwapo hakurushishwa na maamuzi. Rufaa sio mpaka uwe umeshindwa kabisa, hapana. Yawezekana ukawa umeshinda kesi lakini hukuridhishwa na kiwango ulichoshinda.Kwa mfano uliomba wavamizi waondoke katika nyumba yako na hapohapo wakulipe fidia. Mahakama ikatoa hukumu kuwa umeshinda wavamizi waondoke katika nyumba yako lakini ikasema wasikulipe...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: KESI YA BASIL MRAMBA NA DANIEL YONA MWANZO MWISHO.

Blog hii iliripoti kwa ufupi matokeo ya kesi hiyo na kuahidi kutoa ufafanuzi wa kitaalam hapo baadae kupitia wanasheria wake.
Kwa kuwa GLOBU YA JAMII imekuwa mstari wa mbele kueleza masuala ya ...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: KWA MUJIBU WA SHERIA NDOA HIZI HAZIRUHUSIWI

Hapa kwetu Tanzania tunazo ndoa za aina kuu mbili. Kwanza tunazo ndoa za kiraia au kiserikali, na pili tunazo ndoa za kimila.
Ndoa za kiraia au za kiserikali kama zinavyojulikana kwa wengi ni zile ambazo hufungwa chini ya usimamizi wa mamlaka za serikali kama ofisi ya mkuu wa wilaya n.k. Na kwa upande wa ndoa za kimila hizi ni zile ambazo hufungwa kutokana na taratibu za watu wa kabila au koo fulani kwa mujibu...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: SHERIA INAMRUHUSU MKOPAJI KUJIUZIA MWENYEWE KIWANJA/NYUMBA YA DHAMANA.

Na Bashir YakubWiki kadhaa zilizopita nilipigiwa simu na mama mmoja akitaka nimpe ushauri wa sheria kuhusu jambo fulani. Nilifanya miadi naye na tukafanya mazungumzo. Kubwa kuhusu shida yake ilikuwa ni tatizo la mkopo ambapo benki moja imeuza nyumba yake maeneo ya Kinondoni Dar es saaam. Wasiwasi wake ulikuwa ukiukwaji wa taratibu za mauzo ya nyumba yake na hivyo akitaka kujua afanye nini. Maswali yake yalikuwa mengi na ...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: SHERIA HAILAZIMISHI KUTOA MATUNZO YA MTOTO KULIKO UWEZO WAKO.

1.HUWEZI KUMLAZIMISHA ...