Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRA kupambana na wauza magendo

Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi, Richard KayomboMAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaendelea kupambana na wafanyabiashara na watu wote wanaoingiza sukari na bidhaa nyingine nchini, kwa kutumia njia za panya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

TRA yanasa malori ya magendo



NA SAMSON CHACHA, TARIMEUKAMATWAJI wa malori yanayosafirisha mizigo kwa njia ya magendo kutoka Kenya kwa kupitia mpaka Sirari mkoani Mara, umezidi kushika kasi ambapo jana yalikamatwa matatu yaliyosheheni bidhaa mbalimbali zikiwemo nondo na saruji. Magari hayo yalikamatwa kwa ushirikiano wa Maofisa wa Forodha wa kituo cha Sirari wakishirikiana na wenzao wa kodi za ndani  wilayani hapa. Akizungumzia tukio hilo, Meneja wa Forodha Mkoa wa Mara, Ben Usaje, alisema magari hayo ni fuso mbili zenye...

 

10 years ago

Habarileo

TRA yakamata bidhaa za magendo za mabilioni

Kamishna Mkuu wa TRA, Dk Rished BadeMAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa za magendo zenye thamani ya Sh milioni 228.4, ikiwa ni katika jitihada za kudhibiti uingizaji wa bidhaa kwa njia ya magendo na biashara ya magendo nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

TRA: Hatuna taarifa za makontena ya magogo ya magendo

Mamlaka ya Kodi ya Mapato Tanzania Kanda ya Zanzibar (TRA), imesema haina taarifa kuhusu makontena 95 yenye mzigo wa magendo ya magogo yaliosafirishwa kupitia bandari ya Zanzibar yakielekea mataifa ya Mashariki ya Mbali, gazeti hili limebaini hilo jana.

 

10 years ago

Habarileo

Bidhaa za magendo zaipatia TRA mil 258/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya kodi na faini ya jumla ya Sh milioni 258.5 kutokana na bidhaa mbalimbali za magendo zilizokamatwa katika kipindi cha Februari na Machi mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

TRA SONGWE YAGAWA BIDHAA ZILIZOINGIZWA KWA NJIA ZA MAGENDO



Mkoa wa Songwe, Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela (aliyevaa miwani) akikagua orodha ya bidhaa ambazo zimetolewa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kutokana na kuwa zimekamatwa kwa njia za njia za magendo na wamiliki hawakujitokeza.
Simenti iliyokamatwa kwa kuingizwa nchini kwa njia za Magendo katika Mpaka wa Tunduma ikitolewa kwa ajili ya kupelekwa katika shule za sekondari za Mkoa wa Songwe.

…………………………………………………………Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) Mkoa wa Songwe imegawa baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

TRA YAKUSANYA ZAIDI YA SH.BILIONI 258 KWA FAINI NA KODI ZA BIDHAA ZA MAGENDO

Na Avila Kakingo,Globu ya jamii
MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita imekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 258 zilizotokana na faini ya bidhaa mbalimbali za magendo.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam,amesema TRA inaungana na jeshi la Polisi katika kukamata watu wanaojihusisha na usafirishaji na uuzaji wa ...

 

9 years ago

Michuzi

TRA KUPAMBANA NA WIZI WA KAZI ZA WASANII

 Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema itaendelea kupambana na wale wote watakaogundulika kwa wizi wa kazi za sanaa.
Agizo hilo limetolewa na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari na kueleza kuwa wapo katika operesheni ya kukamata wezi wa kazi za sanaa .
"Ipo  kamati ambayo inajumuisha wadau kama Bodi ya Filamu, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na COSOTA ikishirikiana na Jeshi la Polisi katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Karafuu ya magendo yakamatwa

 Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM)Kisiwani Pemba kimefanikiwa kukamata magunia 34 ya karafuu kavu yaliyokuwa katika harakati ya kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani