TRA KUPAMBANA NA WIZI WA KAZI ZA WASANII
Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema itaendelea kupambana na wale wote watakaogundulika kwa wizi wa kazi za sanaa.
Agizo hilo limetolewa na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari na kueleza kuwa wapo katika operesheni ya kukamata wezi wa kazi za sanaa .
"Ipo kamati ambayo inajumuisha wadau kama Bodi ya Filamu, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na COSOTA ikishirikiana na Jeshi la Polisi katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Prof, Jay bado alia wizi kazi za wasanii
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, bado anaendelea kuumizwa na wizi wa kazi za wasanii huku akidai kwamba mamlaka husika zimeshindwa kutatua tatizo hilo. Profesa...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Shirika kupambana na wizi mtandaoni
SHIRIKA linaloshughulikia usalama mitandaoni, Cyber Security and Digital Forensics Investigation Expert, limeeleza kuunganisha nguvu na polisi wa visiwa vya Falme ya Solomon, ili kupambana na wizi wa mtandaoni. Akizungumza na...
10 years ago
Habarileo17 Dec
TRA kupambana na wauza magendo
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaendelea kupambana na wafanyabiashara na watu wote wanaoingiza sukari na bidhaa nyingine nchini, kwa kutumia njia za panya.
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
HAPA KAZI TU: Majaliwa aibukia Bandari na kuwatia mbaroni maafisa kadhaa huku Rais akimsimamisha kazi Kamishna TRA!
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya ghafla bandarini akisalimiana na uongozi wa TRA na TPA.
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 80/-.
Akizungumza na viongozi wa Mamlaka ya Bandari pamoja na viongozi wa TRA katika ziara ya kushtukiza leo mchana (Ijumaa, Novemba 27, 2015), Waziri Mkuu amewataka Kamishna...
10 years ago
Michuzihafla ya ugawaji wa Mirabaha kwa Wabunifu na wasanii Zanzibar - Balozi Seif aonya walaghai wa kazi za wasanii
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alionya kwamba wananchi wanalazimika kujenga utamaduni wa kuthamini kazi za wabunifu na wasanii kwa kuona fahari kuzilipia bila ya shuruti pale wanapozitumia jambo ambalo ni uungwana na kinyume chake inahesabika kuwa ni wizi. Alisema Serikali kupitia Ofisi ya Hakimiliki, Bodi ya Hakimiliki na Jumuiya ya Hakimiliki Zanzibar { COSOZA } itaendelea kusimamia kazi za wabunifu na wasanii ili kuona kuwa maslahi,...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Serikali kudhibiti wizi haki za wasanii
SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, imeweka mikakati ya kudhibiti haki za kazi za wasanii wa muziki na filamu za Tanzania. Hayo yalisemwa bungeni juzi na waziri...
5 years ago
Michuzi5 years ago
BBCSwahili21 Mar
Coronavirus: Wasanii waungana kupambana dhidi Covid-19
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Mganga asimamishwa kazi kwa wizi wa dawa
Na Mwandishi wetu
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga, Mkoani Tabora wamependekeza kuwa Mganga wa zahanati ya kata ya Sungwizi, Tarafa ya Nsimbo John Malaba asimamishwe kazi, kumfutia uhamisho aliopata wa kwenda makao makuu ya wilaya.
Licha ya kusimamishwa kazi baraza hilo pia limeamua kumfungulia mashtaka Mahakamani kwa tuhuma za wizi wa madawa ya binadamu yenye thamani ya shilingi 1,600,000/=.
Madiwani hao walifikia hatua hiyo baada ya kujibadili kutoka Baraza la...