Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Wasanii waungana kupambana dhidi Covid-19

Kim Kardashian, Naomi Campbell, Arnold Schwarzenegger na wasanii wengine wamejitokeza kwenye mitandao ya kijamii kutoa kutoa muongozo wa namna ya kujikinga na virusi vya corona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Fashion Association of Tanzania(FAT) waungana na serikali mapambano dhidi ya maambukizi Covid-19


•    Wabunifu waonyesha kwa vitendo mapigano dhidi ya maambukizi ya Covid-19

Fashion Association of Tanzania (FAT) chaendesha mchakato wa uchangiaji wa vitakasa ikiwa sehemu ya mchango wao dhidi ya maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na kirusi cha Corona (Covid-19).

Jumla ya wabunifu, wanamitindo na wadau wa sekta hiyo 66, wameweza kuchangia katoni 80 (sawa na lita 1,600) za vitakasa, katoni 60 kati ya hizo zikiwa ni “lit lavender disinfectant” na 20 zikiwa ni “zap bleach regular”...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vijana wa Kitanzania waungana kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi malengo ya 17 ya (SDGs)

TABIA NCHI EMkurugenzi wa Asasi ya Mazingira, Elisha Sibale amesema  kuwa vijana wanawajibu wa kuleta mabadiliko chanya katika mabadiliko ya tabianchi kutokana na kuwa sehemu ya kubwa ya kuweza kuingia katika ajenda hizo.

Na Andrew Chale, modewjiblog

[DAR ES SALAAM] Vijana nchini wametakiwa kuchukua hatua ya kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi kwa vitendo huku wakiombwa kuungana  katika harakati za kupambana na Mabadilikio  hayo ilikufanya idadi kubwa ya watu katika utekelezaji wa malengo mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WAUNGANA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)

Na Chalila Kibuda ,Globu ya JamiiVIJANA Watanzania  wameungana katika harakati za kupambana na Mabadilikio ya Tabianchi kutokana na kuwa idadi kubwa ya watu kuweza kufanya mabadiliko hayo.
Akizungumza na wadau wa Mabadiliko ya Tabianchi,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabianchi,Sixberty Mwanga amesema kuwa katika malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Tanzania inatakiwa kushiriki na kukubali juu ya kuweza kupata fedha za kuweza kutekeleza malengo hayo.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Malengo...

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ:Upinzani waungana dhidi ya CCM

Vyama vinne vya upinzani vimetia saini makubaliano kwa lengo la kupata nguvu ya pamoja ili kuking'oa madarakani CCM

 

10 years ago

CloudsFM

Wasanii waungana kupiga vita mauaji ya Albino

Wasanii wa Bongo Fleva wameungana na wadau mbalimbali kupiga vita mauaji ya albino yanayoendelea katika mikoa ya Kanda ya Ziwa hapa nchini.
Kupitia mitandao ya kijamii wamepost picha na kulaani mauaji hayo.

diamondplatnumz Ndugu zangu! nafkiri ni Muda wa kubadilika sasa...Tuacheni fikra potofu, za Kipuuzi na ukatili Usio na Maana.. Hivi inamaa unataka kuniambia na hao kina Bill gates Mzee wa kuku, Carlos Slim, Amancio Ortega , Bakhresa na Matajiri wakubwa Duniani pia Walitajirika kupitia...

 

10 years ago

GPL

WASANII WAUNGANA NA MABESTE KWENYE SHOO YA KUMCHANGIA MKEWE

Msanii Mabeste akiwapagawisha mashabiki. Msanii wa muziki, Bob Junior akifanya yake jukwaani. Mdada akipagawa na wimbo wa msanii Shebby Love (kushoto).…

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba na Jacqueline Mengi waungana na serikali na shirika la WildAid katika kampeni dhidi ya Ujangili (Video)

Alikiba na Jacqueline Mengi wameungana na serikali ya Tanzania pamoja na shirika la kimataifa la WildAid katika kampeni dhidi ya ujangili. Mastaa hao pamoja ni miongoni mwa mabalozi wa kampeni hiyo yenye kauli mbiu isemayo ‘Ujangili Unatuumiza Sote.’ Lengo la kampeni hiyo ni kukomesha biashara haramu ya wanyama pori kwa kupungiza mahitaji ya bidhaa zitokanazo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani