Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii waungana kupiga vita mauaji ya Albino

Wasanii wa Bongo Fleva wameungana na wadau mbalimbali kupiga vita mauaji ya albino yanayoendelea katika mikoa ya Kanda ya Ziwa hapa nchini.
Kupitia mitandao ya kijamii wamepost picha na kulaani mauaji hayo.

diamondplatnumz Ndugu zangu! nafkiri ni Muda wa kubadilika sasa...Tuacheni fikra potofu, za Kipuuzi na ukatili Usio na Maana.. Hivi inamaa unataka kuniambia na hao kina Bill gates Mzee wa kuku, Carlos Slim, Amancio Ortega , Bakhresa na Matajiri wakubwa Duniani pia Walitajirika kupitia...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MATEMBEZI YA HAMASA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akihutubia katika viwanja vya leaders club baada ya kuhitimisha matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matembezi ya hamasa kupiga vita mauaji ya Albino — Imetosha

DSCF7142

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.

DSC_0573

DSCF7252

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr, Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu, Mwakilishi wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Abdillah Omar sambamaba...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii wa kike nchini waungana na kurekodi video ya wimbo ‘Simama Nami’ kupinga mauaji ya albino

Wasanii mbalimbali wa kike nchini wameungana na kurekodi video ya wimbo uitwao ‘Simama Nami’, maalum kwaajili ya kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi vinavyoendelea nchini. Video imeongozwa na Hanscana. Wasanii walioshiriki ni pamoja na Keisha, Mwasiti, Linah, Khadija Nito, Grace Matata, Shilole, Kajala, Wolper,Shamsa Ford, Irene Uwoya na Zamaradi Mketema. Wimbo umeandikwa […]

 

10 years ago

Michuzi

WENGI WAHAMASIKA KATIKA MATEMBEZI YA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO - IMETOSHA, JIJINI DAR LEO


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.Matembezi yakiendelea.
Wadau kutoka sekta mbali mbali wakishiriki kwenye Matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya mauaji ya Albino TZ

Kampeni kubwa imezinduliwa Tanzania, iliyoongozwa na rais wa nchi hiyo Jakaya Kikwete, kuchangisha pesa kuwalinda albino.

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa ashiriki Matembezi ya kupiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino

Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Edward Lowassa (katikati mwenye kapelo), "akitroti" kukimbia sambamba na mamia ya watu waliojitokeza kwenye matembezi ya kuunga mkono kupiga vita dhidi ya mauaji ya watu wenye Ualbino, yaliyofanyika jana kuanzia Uwanja wa Taifa na kuishia kwenye Viwanja vya TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam. Katika hotuba yake mwishoni mwa matembezi hayo ya kilomita 5, Mh. Lowassa alimuomba Rais Jakaya Kikwete, "kumwaga" wino, ili kubariki hukumu ya kifo...

 

11 years ago

Michuzi

JK AZINDUA MABANGO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUPIGA VITA MAUAJI YA TEMBO,FARU

 Moja ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru nchini. Hafla hii ilifanyika muda mfupi kabla Rais Kikwete hajapanda ndege kuelekea London, Uingereza, kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kupanga mikakati ya kupambana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na faru.  Rais Jakaya Kikwete (kulia) akibofya kwenye...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA MABANGO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUPIGA VITA MAUAJI YA TEMBO, FARU

Moja ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru nchini. Hafla hii ilifanyika muda mfupi kabla Rais Kikwete hajapanda ndege kuelekea London, Uingereza, kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kupanga mikakati ya kupambana na ujangili na biashara haramu ya meno ya...

 

10 years ago

Mwananchi

MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa

>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani