Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fashion Association of Tanzania(FAT) waungana na serikali mapambano dhidi ya maambukizi Covid-19


•    Wabunifu waonyesha kwa vitendo mapigano dhidi ya maambukizi ya Covid-19

Fashion Association of Tanzania (FAT) chaendesha mchakato wa uchangiaji wa vitakasa ikiwa sehemu ya mchango wao dhidi ya maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na kirusi cha Corona (Covid-19).

Jumla ya wabunifu, wanamitindo na wadau wa sekta hiyo 66, wameweza kuchangia katoni 80 (sawa na lita 1,600) za vitakasa, katoni 60 kati ya hizo zikiwa ni “lit lavender disinfectant” na 20 zikiwa ni “zap bleach regular”...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Absa Tanzania yaunga mkono juhudi za serikali mapambano dhidi ya Covid-19

Waziri wa Afya, Maendeleo ya. Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, (katikati), akimshukuru Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utumishi wa Benki ya AbsaTanzania, Patrick Foya (kushoto), baada yakupokea msaada wa vifaa tiba kwa ajili ya kuisaidia serikali katika kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayotokana na virusi vya Corona (Covid-19). kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Daudi Mchembe. Vifaa hivyo vikiwemo barakoa,...

 

5 years ago

Michuzi

RC.GAMBO,WADAU SHIRIKIANENI NA SERIKALI MAPAMBANO DHIDI COVID 19


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akipokea Vitakasa mikono lita 2500 pamoja na Ndoo 50 kutoka kwa meneja wa kampuni ya Mega beverages Christopher Ndossi leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akitoa taarifa ya mapambano ya ugonjwa wa Covid 19 kwa mkoa wa Arusha kwa wadau kutoka kampuni za Hanspoul Ltd,Simba Truck na Mega Beverages Mara baada ya kukabidhiwa vifaa na fedha milioni 29 kutoka kwa wadau hao ikiwa ni sehemu yamsaada...

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAIPONGEZA SERIKALI DHIDI YA MAPAMBANO YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).

Kupongeza  juhudi za Serikali dhidi ya Mapambano ya Mlipuko wa Maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona

Itakumbukwa kuwa katikati ya mwezi Machi mwaka huu Serikali ilitangaza mapambano rasmi dhidi ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona ambavyo hivi karibuni imekuwa ni janga kubwa duniani.
Serikali ilichukua uamuzi huo baada ya Tanzania kuanza kupata taarifa za uwepo wa wagonjwa wa maradhi hayo nchini na hivyo kuwataka Wananchi kuchukua tahadhari mbalimbali za kujikinga na...

 

5 years ago

Michuzi

Airtel Tanzania yachangia sh. 700 milioni kwa wafanyakazi wa sekta ya afya dhidi ya mapambano ya COVID-19

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati) alipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Airtel Tanzania, Gabriel Malata
(kushoto) mfano wa hundi ya shilingi milioni saba (TZS 700,000,000) ukiwa ni mchango wa Airtel Tanzania kuunga mkono serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye mapambano dhidi ya virusi vya covid-19 (corona). Mchango uliotolewa na Airtel utatumika kununua vifaa kinga vitakavyosambazwa nchi nzima ili vitumike na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wasanii waungana kupambana dhidi Covid-19

Kim Kardashian, Naomi Campbell, Arnold Schwarzenegger na wasanii wengine wamejitokeza kwenye mitandao ya kijamii kutoa kutoa muongozo wa namna ya kujikinga na virusi vya corona.

 

9 years ago

StarTV

Wadau waombwa kuwekeza kwenye mapambano dhidi ya  maambukizi ya vvu

Kamati  za kudhibiti maambukizi vya virusi vya ugonjwa wa UKIMWI katika wilaya ya Pangani mkoani Tanga zimesema upo umuhimu kwa wadau mbalimbali kuendelea kuwekeza kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Kamati hizo zimesema licha ya baadhi ya jamii kuwa na uelewa dhidi ya ugonjwa huo jitihada zaidi  zinahitajika ili elimu hiyo imfikie kila mtu na hatimaye kujikinga na ugonjwa huo.

Wanakamati hao wametoa kauli hiyo katika tamasha la kuzizawadia kamati bora za ukimwi, jinsia, uongozi  na...

 

5 years ago

Michuzi

Pesa kidijitali: Njia nyingine kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya coronavirus

Toka kuingia kwa virusi vya coronavirus nchini njia mbalimbali zimechukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa kuzuia kasi ya maambukizi.Taasisi za elimu zimefungwa, hoteli mbalimbali, mikusanyiko imezuiwa na kupungua kwa mfano Mapinduzi Day, na njia nyingi za kuelimisha umma zinafanyika kuhakikisha tunabaki salama. 
Juhudi pia zinafanyika kuhamasisha kuhusu matumizi ya fedha kijitali (kulipa, kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu). Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO),  njia hii ya kutuma,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani