Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alikiba na Jacqueline Mengi waungana na serikali na shirika la WildAid katika kampeni dhidi ya Ujangili (Video)

Alikiba na Jacqueline Mengi wameungana na serikali ya Tanzania pamoja na shirika la kimataifa la WildAid katika kampeni dhidi ya ujangili. Mastaa hao pamoja ni miongoni mwa mabalozi wa kampeni hiyo yenye kauli mbiu isemayo ‘Ujangili Unatuumiza Sote.’ Lengo la kampeni hiyo ni kukomesha biashara haramu ya wanyama pori kwa kupungiza mahitaji ya bidhaa zitokanazo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Mkewe Reginald Mengi adai kuzuiwa kuona kaburi la mumewe Tanzania

Mwaka mmoja baada ya kifo cha bilionea wa Tanzania Reginald Mangi, tayari kumeibuka mgogoro katika familia yake, baada ya mkewe Jacqueline Mengi kudai kwamnba amenyimwa kuona kaburi la mumewe.

 

10 years ago

Michuzi

WATU WA CHINA WAZINDUA KAMPENI YA KUWALINDA WANYAMA DHIDI YA UJANGILI


Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya kupambana na ujangili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo imeanzishwa na watu wa China kwa ajili ya kuunga jitihada za watanzania katika mapambano hayo ya kuwalinda wanyama dhidi ya ujangili hasa tembo.Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (kulia), akimpa zawadi ya mpira kwa niaba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kinondoni, Faudhia Eddy katika uzinduzi...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WAUNGANA KATIKA KAMPENI YA #BRINGBACKOURGIRLS

Picha ya mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama aliyotupia Twitter. Hii ilitupiwa na Chris Brown kupitia Instagram. ...Msanii Waje kutoka…

 

10 years ago

GPL

WATU WA CHINA WAZINDUA KAMPENI YA KUWALINDA WANYAMA DHIDI YA UJANGILI‏

Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya kupambana na ujangili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo imeanzishwa na watu wa China kwa ajili ya kuunga jitihada za watanzania katika mapambano hayo ya kuwalinda wanyama dhidi ya ujangili hasa tembo. Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (kulia), akimpa zawadi ya mpira kwa niaba ya wanafunzi...

 

9 years ago

Michuzi

Alikiba atua Los Angeles kutengeneza video ya kupinga ujangili wa tembo

Alikiba akiwa jijini Los Angeles Marekani na wasanii pamoja na watu mbalimbali walioshiriki kutengeneza video ya wimbo wa kupinga ujangili wa tembo inayotarajiwa kutoka mwezi ujao. Video hiyo imeratibiwa na Wildaid na kudhaminiwa na Swiss Air pamoja na Pembe Club.
Katika kutimiza jukumu lake jipya kama balozi wa kimataifa wa Wildaid, shirika la kimataifa la uhifadhi wanyamapori, mwanamuziki maarufu Mtanzania – Alikiba amesafiri kuelekea jiji la Los Angeles nchini Marekani ili kutengeneza...

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba atumbuiza mbele ya mastaa wa Marekani wakiwemo Maggie Q na Fergie kwenye hafla ya WildAid, LA

11296896_513436305489308_1449570678_n

Shirika la WildAid wikiendi iliyopita lilifanya hafla ya kwanza ya ukusanyaji wa fedha huko Los Angeles nchini Marekani na kufanikiwa kukusanya dola milioni 2.5.

11296896_513436305489308_1449570678_n
Alikiba akiwa na muimbaji wa zamani wa kundi la The Black Eyed Peas, Fergie

Katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Montage Beverly Hill, kupewa jina ‘An Evening in Africa’ na kuhudhuriwa na mastaa kibao wa Hollywood, Alikiba alitumbuiza.

12070818_496734503820870_1026274219_n
Alikiba akiwa na muigizaji wa series ya Nikita, Maggie Q

Mastaa waliohudhuria ni pamoja na...

 

5 years ago

Michuzi

Fashion Association of Tanzania(FAT) waungana na serikali mapambano dhidi ya maambukizi Covid-19


•    Wabunifu waonyesha kwa vitendo mapigano dhidi ya maambukizi ya Covid-19

Fashion Association of Tanzania (FAT) chaendesha mchakato wa uchangiaji wa vitakasa ikiwa sehemu ya mchango wao dhidi ya maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na kirusi cha Corona (Covid-19).

Jumla ya wabunifu, wanamitindo na wadau wa sekta hiyo 66, wameweza kuchangia katoni 80 (sawa na lita 1,600) za vitakasa, katoni 60 kati ya hizo zikiwa ni “lit lavender disinfectant” na 20 zikiwa ni “zap bleach regular”...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yapokea msaada wa Helkopta kwa ajili ya kuimarisha mapambano dhidi ya ujangili

 Balozi wa Marekani hapa nchini Bw. Mark Childress (kushoto) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Helkopta kutoka kwa Taasisi ya Howard G. Foundation inayomilikiwa na mfanyabiashara mashuhuri nchini Marekani Bw. Warren Buffet  (hayupo pichani) kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyarandu.Hafla hiyo imefanyika jana jijini Dar es Salaam.  Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt.Idd Mfunda (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu & Rubani Mkuu wa Kampuni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani