Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA WAUNGANA KATIKA KAMPENI YA #BRINGBACKOURGIRLS

Picha ya mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama aliyotupia Twitter. Hii ilitupiwa na Chris Brown kupitia Instagram. ...Msanii Waje kutoka…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Alikiba na Jacqueline Mengi waungana na serikali na shirika la WildAid katika kampeni dhidi ya Ujangili (Video)

Alikiba na Jacqueline Mengi wameungana na serikali ya Tanzania pamoja na shirika la kimataifa la WildAid katika kampeni dhidi ya ujangili. Mastaa hao pamoja ni miongoni mwa mabalozi wa kampeni hiyo yenye kauli mbiu isemayo ‘Ujangili Unatuumiza Sote.’ Lengo la kampeni hiyo ni kukomesha biashara haramu ya wanyama pori kwa kupungiza mahitaji ya bidhaa zitokanazo […]

 

11 years ago

BBC

Five facts about #BringbackOurGirls

Three million tweets - and four other stats on the trend

 

11 years ago

BBC

What happened to #BringBackOurGirls?

The hashtag that won't go away

 

10 years ago

Bongo Movies

Mastaa Bongo movie wazindua kampeni ya ‘Mama Ongea na Mwanao’

Siku ya jana, Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama Ongea Na Mwanao.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kampeni hiyo Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari alisema…‘Mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na mwanao ni kwamba hii Mama ongea na mwanao nadhani mmeona tangu tumepata uhuru nchi yetu haijawahi kuwa na makamu urais mwanamke hii ni historia kwa Tanzania mimi na imani...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAZINDUA KAMPENI YA CCM ‘MAMA SEMA NA MWANAO’

Steve Nyerere akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). Wasanii waliokuwa kwenye kampeni hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja. Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu na wasanii wenzake wa kike leo wamezindua Kampeni ya ‘Mama Sema na Mwanao’ ambayo itafanya tamasha kubwa lenye lengo la kuongea na vijana na litazunguka mikoa kumi ya Tanzania kwa ajili ya kuamsha vijana ikiwa ni moja ya sera za Chama Cha...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAUNGANA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)

Na Chalila Kibuda ,Globu ya JamiiVIJANA Watanzania  wameungana katika harakati za kupambana na Mabadilikio ya Tabianchi kutokana na kuwa idadi kubwa ya watu kuweza kufanya mabadiliko hayo.
Akizungumza na wadau wa Mabadiliko ya Tabianchi,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabianchi,Sixberty Mwanga amesema kuwa katika malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Tanzania inatakiwa kushiriki na kukubali juu ya kuweza kupata fedha za kuweza kutekeleza malengo hayo.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Malengo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia waungana katika kongamano la Teknohama litakalofanyika Juni 18-19

8.jpg333

Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba (kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Huawei Tanzania, Bwana Samson Majwala katika ushirikiano wao huo. anayefuatia ni Afisa wa Huawei. 

Kampuni ya Huawei Tanzainia ikishirikiana na Wizara na Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia inatarajiwa kufanya kongamano la kwanza la Huawei Cloud Conference katika ukumbi wa Julius Nyerere Convential Centre (JNICC)  kwa siku mbili yaani Juni 18 na 19...

 

10 years ago

Dewji Blog

TICS wapanda miti 250 katika shule ya Sekondari Kurasini katika kampeni ya GO Green!

2Waalimu wa shule ya sekondari ya Kurasini wakiwa na viongozi wa TICS kabla ya kuanza zoezi la kupanda miche 250 kwenye eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.

1Kutoka kushoto ni  Mkurugenzi  wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali  watu, Sadick Abdalla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani