TICS wapanda miti 250 katika shule ya Sekondari Kurasini katika kampeni ya GO Green!
Waalimu wa shule ya sekondari ya Kurasini wakiwa na viongozi wa TICS kabla ya kuanza zoezi la kupanda miche 250 kwenye eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali watu, Sadick Abdalla...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTICS WAPANDA MITI KATIKA SHULE YA SEKONDARI KURASINI
9 years ago
VijimamboTICS YAPANDA MITI 250 SHULE YA SEKONDARI KURASINI
11 years ago
Habarileo09 Apr
TBL wapanda miti 1,250 Chuo Kikuu Mount Meru
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoa wa Arusha, wamepanda miti 1,250 katika eneo la Chuo Kikuu cha Mount Meru (MMU) ikiwa ni sehemu ya utunzaji wa mazingira mkoani humo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-X9CqCRVxncI/XkoKlmZc7dI/AAAAAAALdpw/8zxcDvP9Vq0Fv68vSgAOtolLwz5rfne_gCLcBGAsYHQ/s72-c/0e2b3d39-aae4-485a-b5d3-3966adc90707.jpg)
Taasisi ya Jangwani to Forest Movement yapanda miti 50 katika Shule mbili
Na Chalila Kibuda,Michuzi Globu.
Wanafunzi wakipata elimu ya utuzaji wa Mazingira ni hazina ya taifa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Hayo aliyasema Mwasisi wa Jangwani to Forest Movement Verdiana Nsongo wakati wa upandaji wa miti katika Shule za Msingi za Msisiri na Kinondoni zilizopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Amesema kuwa misingi bora ya utunzaji mazingira ni kutoa elimu kwa wanafunzi kuanzia katika maeneo yao shule ambapo wanaoweza kwenda kutoa elimu katika...
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Shule ya msingi Green Hill ya jijini Dar yafanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba
![](http://3.bp.blogspot.com/-Y2RDaDVFLGw/VjZDdmWRWDI/AAAAAAAAHfQ/w9W2x3lRif0/s640/GREEN%2BHILL%2BPIC%2B1.jpg)
Shule ya Msingi Green Hill iliyopo Ilala Mkoani Dar es salaam imekuwa miongoni mwa shule bora zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba, uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu kote nchini.
Katika Matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini NECTA Dk.Charles Msonde, ufaulu wa Kitaifa mwaka huu umepanda kwa asilimia 10.85 kutoka asilimia 56.99 za mwaka jana, ambapo wanafunzi waliofaulu ni 518,034 kati ya 775,273 waliosahiliwa...
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) KATIKA SHULE YA MSINGI YA MATUMAINI YA JESHI LA WOKOVU ILIYOPO KURASINI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iODbUo3ZGQM/VSYiVbXqkpI/AAAAAAAHPsI/ssUKv2df7l0/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI
![](http://2.bp.blogspot.com/-iODbUo3ZGQM/VSYiVbXqkpI/AAAAAAAHPsI/ssUKv2df7l0/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-2eGh_mz7mUQ/VSYiVwtNODI/AAAAAAAHPsM/h9Z_zaW6zho/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-pg-3rZmzaiU/VSYiWmmKT5I/AAAAAAAHPsU/95XBUg5ES2M/s1600/unnamed%2B(14).jpg)
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI
11 years ago
MichuziTANAPA YAKABIDHI MADARASA MAWILI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NKOARISAMBU-ARUMERU