Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANAPA YAKABIDHI MADARASA MAWILI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NKOARISAMBU-ARUMERU

Naibu waziri wa maliasili na utalii,Mhe. Mahamud Mgimwa akizungumza katika uzinduzi wa madarasa mawili ykatika shule ya sekondari ya Nkoarisambu wilayani Arumeru. Mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi ya taifa TANAPA, Bw. Allan Kijazi akitoa taarifa ya kukabidhi mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ,shule  ya sekondari Nkoarisambu wilayani Arumeru. Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira Mh James Lembeli akizindua mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ,shule ya sekondari ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAMA YAKABIDHI MAJENGO YA MADARASA SHULE YA SEKONDARI NYAMISATI MKOA WA PWANI WILAYA YA RUFIJI

 Makamu Mwenyekiti WAMA,Mama Zakia Meghji akikata utepe kabla ya kumkabidhi majengo ya madarasa Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa (wa pili kushoto) Mkuu wa wilaya ya Rufiji Nurdin Babu (wa pili kulia) na Kiongozi wa WAMA (kulia) Viongozi wakitembelea moja ya sehemu za shule. Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji akizungumza.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

TANAPA WAKABIDHI MRADI WA UJENZI WA BWENI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NURU YA WILAYANI SIHA.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na wanafunzi wa shule ya sekondari Nuru iliypo wilayani Siha alipowasili kwa ajili ya makabidhiano na ufunguzi wa Bweni la wananfunzi lililojengwa kwa ufadhili wa hifadhi za taifa Tanzania (TANAPA).
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano hayo.Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Nuru wakimsikiliza RC Gama (hayupo pichani).Mkuu wa wilaya ya Siha,Dkt Charles Mlingwa akizungumza...

 

10 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

10 years ago

Michuzi

madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani wilayani Simanjiro yakabidhiwa

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka pamoja na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Daniel Ole Materi wakikata utepe kuashiria kuzindua madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani iliyopo Kata ya Terrat ambayo Kamanda Ole Materi, aliyajenga na kutoa msaada kwa shule hiyo.Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wakiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Christopher Ole Sendeka na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,...

 

10 years ago

GPL

MADARASA MAWILI YA SHULE YA MSINGI LOORNG'OSWANI WILAYANI SIMANJIRO YAKABIDHIWA

Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka pamoja na Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Daniel Ole Materi wakikata utepe kuashiria kuzindua madarasa mawili ya shule ya msingi Loorng'oswani iliyopo Kata ya Terrat ambayo Kamanda Ole Materi, aliyajenga na kutoa msaada kwa shule hiyo.…

 

10 years ago

Michuzi

TPB Yakabidhi Madarasa na Ofisi Shule ya Msingi Msenjelele

Kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa Gregory Teu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi (kulia) wakizinduwa madarasa na ofisi ya walimu katika Shule ya Msingi Msenjelele. Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara, Gregory Teu pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi (wa kwanza kulia) wakishirikiana kuzinduwa vyumba vya...

 

10 years ago

Dewji Blog

FNB yakabidhi madarasa baada ya ukarabati shule ya msingi Msasani B

IMG_8488fnb

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto)  akikata utepe  kwa ajili ya kumkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi  Msasani  B,  Bw.Victor  Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati  pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule  hivi karibuni jijini Dar as Salaam.

IMG_8950fnb

Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi  Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni...

 

10 years ago

Michuzi

TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA MATATU SHULE YA MSINGI YA LOIBORSOIT

1Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.David na steven.23Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin akipima sikio kwa mmoja wa watoto waliohudhuria...

 

5 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15 KWA SHULE TATU ZA SEKONDARI JIJINI DAR

BENKI ya NMB, imekabidhi msaada wa viti, meza na madawati vyote vikiwa na thamani ya Sh. Milioni 15 kwa ajili ya Shule za Sekondari Kibamba na Kinzudi na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini, zilizoko wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam.
Hafla ya kukabidhi msaada huo ilifanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kibamba, ambako Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd alimkabidhi msaada huo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori (aliyekuwa mgeni rasmi).
Alisema Kibamba Sekondari yenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani