Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya Jangwani to Forest Movement yapanda miti 50 katika Shule mbili


Na Chalila Kibuda,Michuzi Globu.

Wanafunzi wakipata elimu ya utuzaji wa Mazingira ni hazina ya taifa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Hayo aliyasema Mwasisi wa Jangwani to Forest Movement Verdiana Nsongo wakati wa upandaji wa miti katika Shule za Msingi za Msisiri na Kinondoni zilizopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Amesema kuwa misingi bora ya utunzaji mazingira ni kutoa elimu kwa  wanafunzi kuanzia katika maeneo yao shule ambapo wanaoweza kwenda kutoa elimu katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TICS YAPANDA MITI 250 SHULE YA SEKONDARI KURASINI

Kutoka kushoto kwenda kulia – Mkurugenzi wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali watu, Sadick Abdalla na Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Kurasini Florentine Assenga wakipanda miti katika shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.Waalimu wa shule ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

TICS wapanda miti 250 katika shule ya Sekondari Kurasini katika kampeni ya GO Green!

2Waalimu wa shule ya sekondari ya Kurasini wakiwa na viongozi wa TICS kabla ya kuanza zoezi la kupanda miche 250 kwenye eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.

1Kutoka kushoto ni  Mkurugenzi  wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali  watu, Sadick Abdalla...

 

9 years ago

Habarileo

UN yapanda miti mlima Kilimanjaro

MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa yaliyopo nchini yameadhimisha miaka 70 ya kuundwa kwa chombo hicho kwa kupanda miti zaidi ya 2,000 katika miteremko ya mlima Kilimanjaro.

 

9 years ago

Michuzi

TICS WAPANDA MITI KATIKA SHULE YA SEKONDARI KURASINI

 Kutoka kushoto ni  Mkurugenzi  wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali  watu, Sadick Abdalla na Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari  ya Kurasini Florentine Assenga wakipanda miti katika shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green. Waalimu wa shule ya sekondari...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN yapanda miti zaidi 2000 kunusuru Mlima Kilimanjaro

Sikiliza kionjo cha hotuba ya Kiswahili ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez hapa chini.

IMG_3361

Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na...

 

9 years ago

StarTV

UN yapanda miti zaidi ya 2000 kunusuru mlima Kilimanjaro.

IMG_3361

Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na kupokelewa na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

GPL

UN YAPANDA MITI ZAIDI 2000 KUNUSURU MLIMA KILIMANJARO‏

Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na kupokelewa na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Exim yapanda miti na kutoa msaada wa chakula kituo cha wazee Moshi

Tree Planting Pix 1

Meneja wa Benki ya Exim wa Tawi Moshi mkoani Kilimanjaro, Bw. John Ngowi akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti lililofanyika baada ya benki hiyo kutembelea kituo cha Wazee cha Njoro katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Mbali na kupanda miti, benki pia ilitoa msaada wa chakula katika kituo hicho. Wakishuhudia ni wafanyakazi wa Benki ya Exim jijini Moshi. (Picha na mpiga picha wetu).

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

Benki ya Exim Tanzania imepanda miti mia moja kuzunguka eneo la...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye kilelele cha maadhimisho ya upandaji miti yaliyofanyika kimkoa wilayani Kinondoni leo. Wa tatu kulia anayeshuhudia upandaji miti huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akipanda mti katika maadhimisho hayo. Mratibu wa mazingira kutoka Taasisi ya EBPA, Charles Lugenga (kushoto),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani