TICS YAPANDA MITI 250 SHULE YA SEKONDARI KURASINI
Kutoka kushoto kwenda kulia – Mkurugenzi wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali watu, Sadick Abdalla na Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Kurasini Florentine Assenga wakipanda miti katika shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
Waalimu wa shule ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Sep
TICS wapanda miti 250 katika shule ya Sekondari Kurasini katika kampeni ya GO Green!
Waalimu wa shule ya sekondari ya Kurasini wakiwa na viongozi wa TICS kabla ya kuanza zoezi la kupanda miche 250 kwenye eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali watu, Sadick Abdalla...
10 years ago
MichuziTICS WAPANDA MITI KATIKA SHULE YA SEKONDARI KURASINI
5 years ago
Michuzi
Taasisi ya Jangwani to Forest Movement yapanda miti 50 katika Shule mbili
Na Chalila Kibuda,Michuzi Globu.
Wanafunzi wakipata elimu ya utuzaji wa Mazingira ni hazina ya taifa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Hayo aliyasema Mwasisi wa Jangwani to Forest Movement Verdiana Nsongo wakati wa upandaji wa miti katika Shule za Msingi za Msisiri na Kinondoni zilizopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Amesema kuwa misingi bora ya utunzaji mazingira ni kutoa elimu kwa wanafunzi kuanzia katika maeneo yao shule ambapo wanaoweza kwenda kutoa elimu katika...
10 years ago
Habarileo21 Aug
UN yapanda miti mlima Kilimanjaro
MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa yaliyopo nchini yameadhimisha miaka 70 ya kuundwa kwa chombo hicho kwa kupanda miti zaidi ya 2,000 katika miteremko ya mlima Kilimanjaro.
10 years ago
StarTV21 Aug
UN yapanda miti zaidi ya 2000 kunusuru mlima Kilimanjaro.

Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na kupokelewa na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa...
10 years ago
Dewji Blog21 Aug
UN yapanda miti zaidi 2000 kunusuru Mlima Kilimanjaro
Sikiliza kionjo cha hotuba ya Kiswahili ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez hapa chini.
Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na...
10 years ago
GPL
UN YAPANDA MITI ZAIDI 2000 KUNUSURU MLIMA KILIMANJARO
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Benki ya Exim yapanda miti na kutoa msaada wa chakula kituo cha wazee Moshi
Meneja wa Benki ya Exim wa Tawi Moshi mkoani Kilimanjaro, Bw. John Ngowi akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti lililofanyika baada ya benki hiyo kutembelea kituo cha Wazee cha Njoro katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Mbali na kupanda miti, benki pia ilitoa msaada wa chakula katika kituo hicho. Wakishuhudia ni wafanyakazi wa Benki ya Exim jijini Moshi. (Picha na mpiga picha wetu).
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Benki ya Exim Tanzania imepanda miti mia moja kuzunguka eneo la...
11 years ago
Habarileo09 Apr
TBL wapanda miti 1,250 Chuo Kikuu Mount Meru
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoa wa Arusha, wamepanda miti 1,250 katika eneo la Chuo Kikuu cha Mount Meru (MMU) ikiwa ni sehemu ya utunzaji wa mazingira mkoani humo.