Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATU WA CHINA WAZINDUA KAMPENI YA KUWALINDA WANYAMA DHIDI YA UJANGILI‏

Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya kupambana na ujangili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo imeanzishwa na watu wa China kwa ajili ya kuunga jitihada za watanzania katika mapambano hayo ya kuwalinda wanyama dhidi ya ujangili hasa tembo. Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (kulia), akimpa zawadi ya mpira kwa niaba ya wanafunzi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATU WA CHINA WAZINDUA KAMPENI YA KUWALINDA WANYAMA DHIDI YA UJANGILI


Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya kupambana na ujangili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo imeanzishwa na watu wa China kwa ajili ya kuunga jitihada za watanzania katika mapambano hayo ya kuwalinda wanyama dhidi ya ujangili hasa tembo.Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (kulia), akimpa zawadi ya mpira kwa niaba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kinondoni, Faudhia Eddy katika uzinduzi...

 

10 years ago

GPL

MAREKANI, CHINA KUSAIDIA VITA DHIDI YA UJANGILI

Mkurugenzi wa African Wildlife Foundation, Dr. Patrick Bergin, akizungumza katika mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Wildaid akizungumza. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,…

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba na Jacqueline Mengi waungana na serikali na shirika la WildAid katika kampeni dhidi ya Ujangili (Video)

Alikiba na Jacqueline Mengi wameungana na serikali ya Tanzania pamoja na shirika la kimataifa la WildAid katika kampeni dhidi ya ujangili. Mastaa hao pamoja ni miongoni mwa mabalozi wa kampeni hiyo yenye kauli mbiu isemayo ‘Ujangili Unatuumiza Sote.’ Lengo la kampeni hiyo ni kukomesha biashara haramu ya wanyama pori kwa kupungiza mahitaji ya bidhaa zitokanazo […]

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AAPA KUWALINDA WAKAZI WA DAR ES SALAAM DHIDI YA CORONA


*Aruhusu bodaboda kuingia katikati ya Mji
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda  amesema ataendelea kuchukua hatua za kila namna katika kuhakikisha anawalinda wakazi wa Dar es Salaam dhidi ya mlipuko wa virusi vya Corona na hiyo ni pamoja na  kupuliza madawa katika maeneo mbalimbali.
Akizungumza na wananchi katika kituo cha mabasi cha Makumbusho leo jijini Dar es Salaam Makonda amesema kuwa upuliziaji wa madawa katika maeneo mbalimbali unaendeleaje na...

 

10 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yakabidhi vifaa vitakavyosaidia kukabiliana na Ujangili katika Hifadhi za Wanyama nchini

 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamela Kikuli akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya muendelezo wa harakati zake za kusaidia kuimarisha ulinzi wa Wanyama aina ya Tembo ili wasiuwawe hapa nchini,ikiwa ni Bia iliyobeba jina la Mnyama huyo,ambapo wametoa vifaa mbali mbali vya kusaidia ulinzi huo,ikiwa ni pamoja na Darubini kubwa (Binoculars) na trimble GPS ambazo zitasaidia katika harakati za kupambana na ujangili katika mbuga za wanyama nchini.Kulia ni Meneja...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI NA WALEZI WASHAURIWA KUWALINDA WATOTO WAO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).

NA PATRICIA KIMELEMETA
WAZAZi na walezi wameshauriwa kuwalinda watoto wao ili wasiweze kupata maambukizi ya ugonjwa wa covid -19 ambao unaweza kuhatarisha maisha yao.
Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT), Dr Elisha Osati amesema kuwa, mzazi au mlezi ana jukumu la kumlinda mtoto wake ili asiweze kupata maambukizo hayo hasa katika kipindi hiki ambacho Dunia imekumbwa na ugonjwa huo.
"Watoto walio chini ya miaka 8, bado wadogo, wanahitaji msaada wa ulinzi na usalama kutoka kwa wazazi au...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ewe Mgombea, wekeza katika kuwalinda watoto wachanga na wasichana dhidi ya VVU

New-Picture-6

Moja ya mikutano ya watoto wakiwa wanatoa mada juu ya haki na usawa kwa watoto kwa kuwataka wanasiasa na wagombea wa uchaguzi mkuu kuzingatia na kutekeleza mipango ya watoto. (Picha ya Maktaba yetu).

Maendeleo makubwa yamepatikana katika kupunguza kuenea kwa VVU. Hata hivyo, ambukizo moja katika kila maambukizo kumi mapya huwapata watoto wanaozaliwa japokuwa asilimia 90 ya maambikizi haya yangeweza kuzuilika. Wasichana pia wamo hatarini zaidi kuambukizwa VVU kuliko wavulana. Kila ambukizo...

 

5 years ago

Michuzi

WAWILI MBARONI KWA KUJARIBU KUINGIA MBUGA ZA WANYAMA KWA UJANGILI HUKU WENGINE WAKIMBILIA NCHI JIRANI YA KENYA Inbox x


Bunduki ya kivita aina ya AK47 ambayo imekamatwa wilayani Ngorongoro na Jeshi la polisi wakishirikiana pamoja na kikosi cha ujangili kanda ya Ziwa huko Oloshoo Kata ya Enguserosambu picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Sehemu ya risasi zilizokutwa kwenye magazine ya bunduki hiyo baada ya msako mkali wilayani Ngorongoro

Askari wa kikosi kazi cha Jeshi la Polisi akijaribu Silaha hiyo mbele ya waandishi wa habari kabla kamanda wa Jeshi hilo hajaongea nao leo jijini hapa

Kamanda Shana akiwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani