Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JINSI BENKI YA NMB INAVYOWAJALI NA KUWALINDA WAFANYAKAZI NA WATEJA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA CORONA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO MKOA WA SINGIDA KUJIKINGA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

Meneja wa NMB Kanda Kati, Nsolo Mlozi (wapili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi wa Singida - Willy Mponzi (kushoto), wamekabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoani hamo.

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,AMOS MAKALLA ASHIRIKI KIFUNGUA KINYWA NA WAFANYAKAZI PAMOJA NA WATEJA WA BENKI YA NMB TAWI LA NELSON MANDELA-MOSHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos  Makalla leo asubuhi ameshiriki kifungua kinywa na wafanyakazi na wateja waNMB Tawi la Moshi na kuipongeza benki ya NMB kwa kuwa benki 10 bora Afrika mashariki, benki inayoongoza kwa kuwa na matawi mengi nchini, benki inayoongoza kwa kutengeneza faida na kusaidia jamii, benki ya riba na gharama nafuu nchini na benki yenye  huduma bora kwa wateja nchini.


Pamoja na mafanikio hayo ameishauri benki hiyo kuendelea kuwa wabunifu wa bidhaa na kuendeleza huduma bora...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali Yaipongeza Benki Ya Exim Kwa Kuwalinda Wateja Na Athari Za Covid 19

Serikali imeagiza benki na taasisi za fedha kutathmini kwa kina athari zinazotokana na mlipuko wa COVID-19 kwenye urejeshaji wa mikopo ya wateja wa taasisi hizo huku ikipongeza benki ya Exim Tanzania kwa kuongeza muda wa urejeshaji wa mikopo ili kusaidia wateja wa benki hiyo  ambao biashara zao zimeathiriwa zaidi  na janga hilo.Akiwasilisha bungeni mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2020/21 jijini Dodoma hivi karibuni , Waziri wa Fedha na Mipango,...

 

5 years ago

Michuzi

PICNIC ILIVYOJIPANGA KUWALINDA WATEJA WAO NA UGONJWA WA CORONA

Na Woinde Shizza,Arusha
Uongozi wa bar maarufu ya picnic iliyopo katikati ya jiji la Arusha umeelezea mikakati mbalimbali ambayo wanaitekeleza kipindi hiki katika kupambana na janga la ugonjwa hatari wa  Corona.
Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa bar hiyo, Bodia Kaaya alisema kwamba kufuatia janga la corona wao kama watoa huduma wamechukua hatua mbalimbali ikiwemo kuhakikisha wahudumu wao wanavaa barakoa muda wote wakati wa kutoa huduma.
Kaaya,alisema kwamba mbali na barakoa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vy corona: Jinsi Korea Kusini ilivyofanikiwa kuzuia maambukizi ya corona

China, Italia, Iran na Korea Kusini hadi kufikia leo ni miongoni mwa mataifa yaliyoathirika zaidi ya usambazaji wa virusi vya corona, na serikali zao zimechukua hatua kukabiliana na usambaaji wa virusi hivyo.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AAPA KUWALINDA WAKAZI WA DAR ES SALAAM DHIDI YA CORONA


*Aruhusu bodaboda kuingia katikati ya Mji
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda  amesema ataendelea kuchukua hatua za kila namna katika kuhakikisha anawalinda wakazi wa Dar es Salaam dhidi ya mlipuko wa virusi vya Corona na hiyo ni pamoja na  kupuliza madawa katika maeneo mbalimbali.
Akizungumza na wananchi katika kituo cha mabasi cha Makumbusho leo jijini Dar es Salaam Makonda amesema kuwa upuliziaji wa madawa katika maeneo mbalimbali unaendeleaje na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI NA WALEZI WASHAURIWA KUWALINDA WATOTO WAO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).

NA PATRICIA KIMELEMETA
WAZAZi na walezi wameshauriwa kuwalinda watoto wao ili wasiweze kupata maambukizi ya ugonjwa wa covid -19 ambao unaweza kuhatarisha maisha yao.
Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT), Dr Elisha Osati amesema kuwa, mzazi au mlezi ana jukumu la kumlinda mtoto wake ili asiweze kupata maambukizo hayo hasa katika kipindi hiki ambacho Dunia imekumbwa na ugonjwa huo.
"Watoto walio chini ya miaka 8, bado wadogo, wanahitaji msaada wa ulinzi na usalama kutoka kwa wazazi au...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi mlipuko wa corona unavyochochea chuki dhidi ya Waislamu India

Jinsi mkutano wa kidini ulivyozua taharuki ya maambukizi ya virusi vya corona India.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani