PICNIC ILIVYOJIPANGA KUWALINDA WATEJA WAO NA UGONJWA WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-leA9E4wxKJ4/Xq1o588RrbI/AAAAAAALo1g/LRIxoDUkNC0cdOE7Cz6g3g3EH38J7HNZACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200502-WA0163.jpg)
Na Woinde Shizza,Arusha
Uongozi wa bar maarufu ya picnic iliyopo katikati ya jiji la Arusha umeelezea mikakati mbalimbali ambayo wanaitekeleza kipindi hiki katika kupambana na janga la ugonjwa hatari wa Corona.
Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa bar hiyo, Bodia Kaaya alisema kwamba kufuatia janga la corona wao kama watoa huduma wamechukua hatua mbalimbali ikiwemo kuhakikisha wahudumu wao wanavaa barakoa muda wote wakati wa kutoa huduma.
Kaaya,alisema kwamba mbali na barakoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kpn-XL6JNEU/XpGlke-04wI/AAAAAAALmyM/oUdtQiWs2_ES5i0WGiwgBPzXIppmwuewwCLcBGAsYHQ/s72-c/DKT%2BMAT.jpg)
WAZAZI NA WALEZI WASHAURIWA KUWALINDA WATOTO WAO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).
WAZAZi na walezi wameshauriwa kuwalinda watoto wao ili wasiweze kupata maambukizi ya ugonjwa wa covid -19 ambao unaweza kuhatarisha maisha yao.
Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT), Dr Elisha Osati amesema kuwa, mzazi au mlezi ana jukumu la kumlinda mtoto wake ili asiweze kupata maambukizo hayo hasa katika kipindi hiki ambacho Dunia imekumbwa na ugonjwa huo.
"Watoto walio chini ya miaka 8, bado wadogo, wanahitaji msaada wa ulinzi na usalama kutoka kwa wazazi au...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/YMtPI4SNIOc/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hPCdRGDV_yg/XntvPkMRSlI/AAAAAAALlBM/nNW039d0bC0pAoQjjDFeRYn5NOaeENaWgCLcBGAsYHQ/s72-c/Court-1.jpg)
Kuepuka maambukizi ya Corona mawakili sasa kuwasiliana na wateja wao kupitia Luninga
![](https://1.bp.blogspot.com/-hPCdRGDV_yg/XntvPkMRSlI/AAAAAAALlBM/nNW039d0bC0pAoQjjDFeRYn5NOaeENaWgCLcBGAsYHQ/s640/Court-1.jpg)
Hakimu Mkazi Mwandamizi, Mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya amesema hayo leo Machi 25, 2020 alipokuwa akisiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 8 ya mwaka 2020 kwa njia ya video...
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Familia inayodai hofu ya ugonjwa wa corona kulisababisha kifo cha mtoto wao.
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Wazazi waaswa kuwalinda watoto wao
WAZAZI wametakiwa kuwapokea vizuri na kuwalea kwa maadili wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne wakati wakisubiri matokeo yao ya kwenda kidato cha tano. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YvOnlZbIJGM/XuXu-pgHdsI/AAAAAAAEHzs/dPaRKMwmpewQjv4NJN5nJTuXzuUAYwUmgCLcBGAsYHQ/s72-c/Minister%2BMpango.jpg)
Serikali Yaipongeza Benki Ya Exim Kwa Kuwalinda Wateja Na Athari Za Covid 19
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aorR2DOoOo4/VoO1E8H1vWI/AAAAAAAIPVY/ttcCp3Xf6UI/s72-c/TCRA_logo4.jpg)
TCRA YAZICHUKULIA HATUA ZA KISHERIA KAMPUNI ZA SIMU ZILIZOSHINDWA KUWALINDA WATEJA WAKE KITEKNOLOJIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-aorR2DOoOo4/VoO1E8H1vWI/AAAAAAAIPVY/ttcCp3Xf6UI/s400/TCRA_logo4.jpg)
HATUA ZA KISHERIA NA KIUDHIBITI KWA MAKAMPUNI YA SIMU YALIYOSHINDWA KULINDA WATEJA WAKE KITEKNOLOJIA NA KISHERIA KUHAKIKISHA USALAMA WA MAWASILIANO YAO
1. Katika shughuili zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano dhidi ya kuwepo mazingira yasiyo salama katika huduma za mawasiliano na hivyo...
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
TCRA yazipiga ‘nyundo’ kali za kisheria kampuni za simu zilizoshindwa kuwalinda wateja wake kitekinolojia!!
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na makampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Airtel, Halotel na Zantel na Smart kwa kuto kukidhi vigenzo. Pia amesema kuwa Makampuni hayo yamepigwa faini ya shilingi milioni 25 kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania kabla ya Januari 29 mwakani.
JAMHURI YA YA MUUNGANO YA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
HATUA ZA...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hkfoaJlwRpE/XoRkIRb4VEI/AAAAAAALlvM/FZwe1lhRPVwwyEsCnHOmKTK2PiV0ssJTgCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
RC MAKONDA AAPA KUWALINDA WAKAZI WA DAR ES SALAAM DHIDI YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-hkfoaJlwRpE/XoRkIRb4VEI/AAAAAAALlvM/FZwe1lhRPVwwyEsCnHOmKTK2PiV0ssJTgCLcBGAsYHQ/s400/unnamed.jpg)
*Aruhusu bodaboda kuingia katikati ya Mji
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema ataendelea kuchukua hatua za kila namna katika kuhakikisha anawalinda wakazi wa Dar es Salaam dhidi ya mlipuko wa virusi vya Corona na hiyo ni pamoja na kupuliza madawa katika maeneo mbalimbali.
Akizungumza na wananchi katika kituo cha mabasi cha Makumbusho leo jijini Dar es Salaam Makonda amesema kuwa upuliziaji wa madawa katika maeneo mbalimbali unaendeleaje na...