TCRA yazipiga ‘nyundo’ kali za kisheria kampuni za simu zilizoshindwa kuwalinda wateja wake kitekinolojia!!
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na makampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Airtel, Halotel na Zantel na Smart kwa kuto kukidhi vigenzo. Pia amesema kuwa Makampuni hayo yamepigwa faini ya shilingi milioni 25 kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania kabla ya Januari 29 mwakani.
JAMHURI YA YA MUUNGANO YA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
HATUA ZA...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aorR2DOoOo4/VoO1E8H1vWI/AAAAAAAIPVY/ttcCp3Xf6UI/s72-c/TCRA_logo4.jpg)
TCRA YAZICHUKULIA HATUA ZA KISHERIA KAMPUNI ZA SIMU ZILIZOSHINDWA KUWALINDA WATEJA WAKE KITEKNOLOJIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-aorR2DOoOo4/VoO1E8H1vWI/AAAAAAAIPVY/ttcCp3Xf6UI/s400/TCRA_logo4.jpg)
HATUA ZA KISHERIA NA KIUDHIBITI KWA MAKAMPUNI YA SIMU YALIYOSHINDWA KULINDA WATEJA WAKE KITEKNOLOJIA NA KISHERIA KUHAKIKISHA USALAMA WA MAWASILIANO YAO
1. Katika shughuili zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano dhidi ya kuwepo mazingira yasiyo salama katika huduma za mawasiliano na hivyo...
9 years ago
StarTV31 Dec
TCRA yaziadhibu Kampuni Tano za simu za mkononi
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni za simu za mkononi Tanzania kulipa shilingi milioni 25 kwa mamlaka hiyo kama adhabu ya kushindwa kusimamia usalama wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano
Adhabu hiyo imetokana na kampuni hizo za Simu zikiwemo Aitel, Tigo, Zantel, Smart, na Halotel kushindwa kutekeleza agizo la TCRA lililowataka kudhibiti wimbi la wezi wanaotumia mitandao hiyo kuwaibia wateja.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania-TCRA, Dkt. Ally...
9 years ago
Mwananchi28 Sep
TCRA yaamuru kampuni za simu kutenganisha vifurushi
10 years ago
Mwananchi24 Feb
TCRA sasa yazijia juu kampuni za simu nchini kupandisha tozo
10 years ago
Mwananchi14 Nov
‘Kampuni za simu nchini zinawaibia wateja wao’
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja
![IMG_5004](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5004.jpg)
![IMG_4911](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_4911.jpg)
![IMG_5035](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5035.jpg)
![picha 02](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/picha-02.png)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-azZA5E--RyE/VlYkIeDiOwI/AAAAAAAIIaM/bove7Pc73jY/s72-c/40c8b8d5-8024-4fe4-8b75-13e973062579.jpg)
Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA BIMA YA RESOLUTION ILIVYOKUTANA NA WATEJA WAKE
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo, Meneja Mkuu wa Resolution Insurance nchini Tanzania, Bwana Oscar Osir alisema, "Tunawashukuru sana kwamba mmehudhuria hafla hii na tunawapongeza kwa uvumilivu wenu katika mwezi huu mkuu wa Ramadhan.”.
Naye...
11 years ago
Habarileo21 Jan
Tigo kurejesha gharama za laini za simu kwa wateja wake
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imezindua utaratibu wa kurudishia wateja wake gharama zote za ununuzi wa laini za simu kwa kuwapa muda wa maongezi na salio katika akaunti za Tigo pesa.