POLISI: TUMEMNASA KIJANA NA MABOMU KUMI
![](http://api.ning.com:80/files/s7s9Z08DG1xh4yl1OR-FxRRGoJVkSONp*oYpxr1vQN4jlbCBbZqy5oCqtLpdgEbUKGVRceVi2eaJS5Tg0z--IwNxOW8v2j6z/polisi.jpg?width=650)
Mwandishi wetu JAMANI! Siku chache tu kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania kupitia msemaji wake, Advera Bulimba kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya kisiasa nchini kote kwa hofu ya kutokea kwa uvunjifu wa amani, kijana mmoja (jina halikupatikana mara moja) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kwa madai ya kunaswa na mabomu 10 kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, SACP Justus Kamugisha....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Jul
Polisi watumia mabomu kutuliza ghasia
JESHI la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia zilizoibuka baina ya wakazi wa eneo la Bahari-Motors, Kijitonyama, wilayani Kinondoni jijini hapa. Ghasia hizo zilitokana na kuchukuliwa kwa magari ambayo yalikuwa yameegeshwa katika gereji iliyopo eneo hilo.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar13 Sep
Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi
Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi. Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na […]
The post Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Polisi wakamata mabomu ya kivita Z’bar
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Kijana amjeruhi polisi wa Israel
10 years ago
Vijimambo25 Nov
Polisi wawatawanya wana-CCM kwa mabomu
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Iddi%20Abdallah--Muhongo-November25-2014.jpg)
Wanachama hao waliandamana kufuatia Kamati Kuu ya CCM Wilaya ya Mvomero kukata majina ya wagombea walioshinda na kurudisha majina ya walioshindwa ili wagombee nafasi za wenyeviti wa vijiji hivyo.
Mbali ya maandamano...
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Dk Slaa: Sitosahau siku nilipopigwa mabomu na Polisi
9 years ago
Mwananchi30 Sep
Lowassa: Polisi acheni kupiga watu mabomu
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Polisi watumia mabomu kutawanya wakazi Geita
10 years ago
StarTV28 Jan
Polisi yatawanya wafuasi wa CUF kwa mabomu.
Na Glory Matola,
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi limelazimika kulipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF waliojiandaa kuandamana hadi Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya baadhi ya wafuasi wake huko Zanzibar.
Pamoja na mabomu hayo, Jeshi hilo pia lilimkamata Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba, baadhi ya wanachama na mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na kupelekwa kituo...