Polisi wawatawanya wana-CCM kwa mabomu
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Mvomero,Iddi Abdallah.Jeshi la Polisi Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia maandamano ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa vijiji vya Luhindo na Sangasanga, walioandamana kupinga matokeo ya kura za maoni.
Wanachama hao waliandamana kufuatia Kamati Kuu ya CCM Wilaya ya Mvomero kukata majina ya wagombea walioshinda na kurudisha majina ya walioshindwa ili wagombee nafasi za wenyeviti wa vijiji hivyo.
Mbali ya maandamano...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Polisi wawatawanya wafuasi wa Ukawa kwa risasi Vunjo
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Polisi wawatawanya waandamanaji Nigeria
10 years ago
Michuzi
CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Polisi yawatawanya wafuasi wa Mbowe kwa mabomu
10 years ago
StarTV28 Jan
Polisi yatawanya wafuasi wa CUF kwa mabomu.
Na Glory Matola,
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi limelazimika kulipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF waliojiandaa kuandamana hadi Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya baadhi ya wafuasi wake huko Zanzibar.
Pamoja na mabomu hayo, Jeshi hilo pia lilimkamata Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba, baadhi ya wanachama na mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na kupelekwa kituo...
11 years ago
Vijimambo29 Sep
Chadema wafunika Mwanza, polisi watawanywa kwa mabomu

Viongozi hao ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu.Mkutano huo uliohutubiwa na viongozi hao, pia ulihudhuriwa na viongozi wa mkoa wa Mwanza wa vyama vya NCCR-Mageuzi na Chama...
10 years ago
GPL
POLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI
11 years ago
Mtanzania29 Oct
Polisi Kagera wasambaratisha wafuasi wa Mdee kwa mabomu

Halima Mdee
Na Mwandishi Wetu, Kyerwa
JESHI la Polisi Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera limetumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi waliojitokeza kumpokea Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee.
Walilazimika kutumia mabomu wakati Mdee alipokuwa anakwenda kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za chama hicho.
Mbali na kutumia mabomu, jeshi hilo limezuia mikutano yote iliyokuwa ihutubiwe na Mdee jana kwa madai ya kupata taarifa za kiitelijensia kuwa...
10 years ago
Vijimambo
POLISI MWANZA WATAWANYISHA UKAWA KWA MABOMU YA MACHOZI

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi