Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Slaa: Sitosahau siku nilipopigwa mabomu na Polisi

>“Kushushwa juu ya  fuso na mabomu kwenye kebini umebaki peke yako watu wote wamekimbia. Ndiyo wamekimbia...nimebaki na mlinzi wangu tu pale juu ya gari. Polisi walipoona vile walinifuata na kunirushia mabomu ya machozi na kunifanya nishindwe kupumua kwa dakika tano mfululizo.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata mabomu ya kivita Z’bar

Mabomu manne ya kivita yamekamatwa yikiwa yamehifadhiwa chini ya ardhi huko katika mji mdogo wa Daraja Bobu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na bomu moja likihusishwa kutumika katika mlipuko uliosababisha kifo cha mtu mmoja Juni 13 mwaka huu katika Manispaa ya Unguja.

 

9 years ago

GPL

POLISI: TUMEMNASA KIJANA NA MABOMU KUMI

Mwandishi wetu JAMANI! Siku chache tu kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania kupitia msemaji wake, Advera Bulimba kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya kisiasa nchini kote kwa hofu ya kutokea kwa uvunjifu wa amani, kijana mmoja (jina halikupatikana mara moja) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kwa madai ya kunaswa na mabomu 10 kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, SACP Justus Kamugisha....

 

11 years ago

Habarileo

Polisi watumia mabomu kutuliza ghasia

JESHI la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia zilizoibuka baina ya wakazi wa eneo la Bahari-Motors, Kijitonyama, wilayani Kinondoni jijini hapa. Ghasia hizo zilitokana na kuchukuliwa kwa magari ambayo yalikuwa yameegeshwa katika gereji iliyopo eneo hilo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi

Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi. Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na […]

The post Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

StarTV

Polisi yatawanya wafuasi wa CUF kwa mabomu.

Na Glory Matola,

Dar es Salaam.

Jeshi la Polisi limelazimika kulipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF waliojiandaa kuandamana hadi Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya baadhi ya wafuasi wake huko Zanzibar.

Pamoja na mabomu hayo, Jeshi hilo pia lilimkamata Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba, baadhi ya wanachama na mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na kupelekwa kituo...

 

11 years ago

Mwananchi

Sugu awalaumu polisi kurusha mabomu Mbeya

Mwandishi Wetu, Mwananchi

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi waja na mwarobaini wa mabomu nyumba za ibada

Jeshi la Polisi limeanza kutekeleza mkakati kabambe wa ulinzi kwa kuhamasisha makanisa na misikiti nchini, kuunda kamati za ulinzi na usalama ili kujihami na vitendo mbalimbali vya uhalifu ikiwamo ulipuaji wa mabomu.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi watumia mabomu kutawanya wakazi Geita

>Mji wa Katoro jana ulizizima kwa mabomu ya machozi wakati polisi walipokuwa wakiwatawanya wanafunzi na wananchi waliofunga barabara kuu ya Geita Bukoba  waliokuwa wakiishinikiza Serikali kuwawekea matuta ili kuepukana na ajali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi watumia mabomu kutuliza ghasia Kiteto

ASKARI wa Jeshi la Polisi wilayani Kiteto, Manyara wamelazimika kutumia mabomu ya machozi na risasi za moto kutuliza ghasia zilizosababishwa na jamii ya wafugaji wa Kimasai kuvamia mkutano ulioandaliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani